Ngwango
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 356
- 275
Wakuu,Hapna utani kwenye mambo serious km hayo bana
Mwanadamu kiumbe wa ajabu. He has an unpredictable phenomenon, when he has peace he says he is fade up of it and goes looking for war.
Mwanaume anakutimizia kazi mlio ahidiana wakati wa ndoa hats wazazi wako walijua siku hivyo kwamba mtoto wetu anaenda kugegedwa.
Sasa subiri Huyo bwana spate mahali pa kudafisha rungu kwa kasi hiyo upumzike maana umechoka na usitafute ushauri sababu umeyataka.
Ni mpuuzi wewe nisamehe kusema hivyo sababu ukiona bwana yako anakuja hivyo ndoa yenu ni paradiso!