Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

Nipe namba yake niongee nae....haipiti wiki atapunguza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amechagua types sio yake mchuke wewe wa types yako
 
Hi wanajukwaa la mapenzi!

Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.

Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.

Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.

Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.
Sikia hii aisee hasa hapo dakika 6.47
 
Sio kweli. Kama ni mume wake ana haki. After all sex drive kwa wanaume iko juu kuliko wanawake so wala sio kitu cha ajabu. Siku akiacha kuomba atakuja tena na uzi mwingine hapa kuuliza why kapunguza teh...teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawaeleweki hitaji lao?
 
Jaman wanaume mtuhurumie tu. Mm nimeajiriwa, ila nisipopata papuchi only a week, utulivu huwa unaisha kabisa, kazi siwezi kufanya, yaan huwa nasikia kama kuna funza kwenye ubongo wanatembea, mara nishike hiki, kabla hakijaisha nimesharukia kingine, nikishapata dyudyu basi akili hurudi kwenye reli na kazi zinapigwa balaa. Pia nisipopata muda mrefu confidence huwa inapotea kabisa.shemeji yenu ndo alishanipangia kwa mwezi mara moja so akili mu kichwa na vidosho wa town tu
 
Acha uvivu pambana na hali yako,na akianza kukupanda kila baada ya miezi miwili uje na hizo fdback pia...
 
Kata vyakula vya mafuta amengi unavyompa, chagua aina ya matunda unayompa usimpe ndizi na tikitimaji, usimpe chai ya maziwa vinginevyo iwe kwa mbali, mlishe sana nyanyachungu usimpe bamia ukitaka zaidi badae. akila hivyo uzalishaji utaenda taratibu labda anakunywa kahawa na supu y pweza ungeweza kumkataza
 
Jaman wanaume mtuhurumie tu. Mm nimeajiriwa, ila nisipopata papuchi only a week, utulivu huwa unaisha kabisa, kazi siwezi kufanya, yaan huwa nasikia kama kuna funza kwenye ubongo wanatembea, mara nishike hiki, kabla hakijaisha nimesharukia kingine, nikishapata dyudyu basi akili hurudi kwenye reli na kazi zinapigwa balaa. Pia nisipopata muda mrefu confidence huwa inapotea kabisa.shemeji yenu ndo alishanipangia kwa mwezi mara moja so akili mu kichwa na vidosho wa town tu

ww ni ke au me?hebu soma ulichoandika'wanaume mtuhurumie'.....
 
Jaman wanaume mtuhurumie tu. Mm nimeajiriwa, ila nisipopata papuchi only a week, utulivu huwa unaisha kabisa, kazi siwezi kufanya, yaan huwa nasikia kama kuna funza kwenye ubongo wanatembea, mara nishike hiki, kabla hakijaisha nimesharukia kingine, nikishapata dyudyu basi akili hurudi kwenye reli na kazi zinapigwa balaa. Pia nisipopata muda mrefu confidence huwa inapotea kabisa.shemeji yenu ndo alishanipangia kwa mwezi mara moja so akili mu kichwa na vidosho wa town tu
Mhhh ratiba tena ya mara1 kwa mwezi? Ipo shida
 
Mwanamke ukiolewa kulala uchi ndio desturi. Hata kama ingekua Mimi lazima ningekupa dozi ya kutwa Mara tatu.
 
Usimbanie mpe tu tena kwa ushirikiano mkubwa inaonekana huwa unajifanyia tu bora liende ndipo unapokosea...badilika
 
unapata picha gan? ?
mm nahis jamaa alijitunza sana kwny ujana wake,we unabahat:ila mwambie au Mpe vikwazo Mara unaumwa Mara nn nk
 
Hi wanajukwaa la mapenzi!

Kila siku mwanaume anataka mchezo nimemvumilia lakini nahisi kuchoka sasa.Akitoka kazini tu hata kuoga anaona anachelewa babe njoo huku nikifika tayari kaliamsha lisokolokwinyo.

Asubuhi hata jogoo hajalia tayari napapaswa na huwa hangojei nikae mkao mzuri kashalichomeka kunako chumvi mautelezi ya kutosha muda huo huo.Wikiendi ndo usiseme Mara mbili au tatu Kwa siku.

Saa nyingine hata akinikuta nasukwa au nimekaa na watoto utamsikia akiwafokea watoto "ondokeni hapa! kachezeni huko".Kinacho fuata naitwa ndani nampa.Sasa nahisi kuchoka jamani huku naogopa asije pata kisingizio cha kuchepuka.

Naombeni ushauri jamani imekuwa too much huyu mume wangu hachoki.
We endelea mpaka ichakae, elastik iishe akatafute nyingine mnato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom