Wakuu kwema?
Wale wazoefu simu yangu ya Samsung aina ya S25 muda mwingi inaniambia camera failed hivyo haioperate chochote na baada y masaa mengi kupita hurudi na kuoperate normaly walau kwa muda mchache nimejaribu kufuata njia mbalibmali za online kusolve tatizo lakini bado lipo naomba...
ahsante naamini inawezekana pia hii ikawa sababu kwa kuwa nilibadilisha tairi moja la nyuma niliweka jipya liilokuja na gari lililpasuka kwa hiyo inawezekana tairi jipya limeleta imbalance,na matairi yaliyokuja na gari hayajachoka yapo OK
Wakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote.
Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya, nipo...
poleni kwa hilo lakini mkiwa watumishi wa serikali laima mjue namna ambavyo serikali inafanya kazi na kujiendha na hata chain za kuwasilisha malalamiko yenu,hapa JF sio mahala sahihi pa yie kuwasilisha kero zenu mahala sahihi zaidi palikuwa ni kwa viongozi wenu wa halamshauri kuanzia mkuu wa...
i was thinking the same,ila mosi angalia irana anapambana na nani? kumbuka ni marekani hivyo tukubaliane sio kila nchi ingekuwa imeweza kumdindia marekani mpaka muda huu,pili kumbuka kwamba dege imeanguka milimani na pilot nae yupo huko milimani ila urahisi wa mareani kumpata pilot wao ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.