La purga atomica
New Member
- Nov 28, 2025
- 4
- 2
Iran weak??
Kuangusha ndege ya kivita unafikiri ni km kudungua fenesi huko kwenu!!
Huoni nchi zote zinavyohangaika ishu za uchumi/mafuta?!
Ama kweli mtu mweu
Iran weak??
Kuangusha ndege ya kivita unafikiri ni km kudungua fenesi huko kwenu!!
Huoni nchi zote zinavyohangaika ishu za uchumi/mafuta?!
Ama kweli mtu mweu
i was thinking the same,ila mosi angalia irana anapambana na nani? kumbuka ni marekani hivyo tukubaliane sio kila nchi ingekuwa imeweza kumdindia marekani mpaka muda huu,pili kumbuka kwamba dege imeanguka milimani na pilot nae yupo huko milimani ila urahisi wa mareani kumpata pilot wao ni kwa kuwa kuna kifaaa maalum anakibonyoza kina transimit signal kwenda kwa rescue team hivyo wakati iran anabahatisha kujua pilot yupo wapi jeshi la marekani wana uhakika mahali ambapo pilot wao yupo hivyo ni rahisi kumfikia,miwsho tufahamu kuwa iran ni nchi kubwa sana kuliko ya tanzania hivyo haiwezekani kila sehemu kukawa na tight security ndio maan umeona pamoja na uwezo mkubwa wa kijeshi wa urusi ila iran aliingia na kuichukua som part ya KURSK.wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
Mkuu unamshuri amfuatilie Zuchu, huyu kijana si ataishia kuwa shoga.Ndege imeangushwaje kibahati? Unafikiri ni kubet huko? Iran wamerelease footage jinsi ndege ilivyopigwa kwa kuonwa na Radar,halafu wewe unaleta lugha za "Bahati"
Kumbe hata hufuatilii hii vita,hujui hata madhara wanayo yapata US +Israel kwenye hii vita,Iran amekuletea madhara mpaka wewe huko kwa kukupandishia bei ya mafuta,
Endelea tu kumfuatilia Zuchu,haya mambo sio level zako,unajiaibisha tu hapa.
Very weak mean while ndege imelipuliwa Tena ndege ambayo mlidai kuwa haionekani katika radar!? Mwaka huu mtatafuta Kila sababuwameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
Mtu mweusi laana kaka 🤣🤣🤣Iran weak??
Kuangusha ndege ya kivita unafikiri ni km kudungua fenesi huko kwenu!!
Huoni nchi zote zinavyohangaika ishu za uchumi/mafuta?!
Ama kweli mtu mweusi ni laana!!😥
Yaani nilikuwaga nakuona una Akili timamu kumbe ni empty set hivyo !?Hahahaha eti sizifaya,watu waleeee wanaondoka na watu wao
😁😁😁😁 Aendeleee kumfuatilia nani !?Ndege imeangushwaje kibahati? Unafikiri ni kubet huko? Iran wamerelease footage jinsi ndege ilivyopigwa kwa kuonwa na Radar,halafu wewe unaleta lugha za "Bahati"
Kumbe hata hufuatilii hii vita,hujui hata madhara wanayo yapata US +Israel kwenye hii vita,Iran amekuletea madhara mpaka wewe huko kwa kukupandishia bei ya mafuta,
Endelea tu kumfuatilia Zuchu,haya mambo sio level zako,unajiaibisha tu hapa.
Hadi hapo Tayari anatutia mashakaMkuu unamshuri amfuatilie Zuchu, huyu kijana si ataishia kuwa shoga.
NaamVyovyote vile itakavyo kua, IRAN ni mwanaume, Hakuna kukubali Unyonge unyonge.
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is trying to secure the release of its F-15 pilots
View: https://x.com/i/status/2040180480612667606
Mkuu au huoni nchi za bara la afrika mambo yake, nenda hata nje ya Africa huko asili za mtu mweusi kama Haiti etc!!Mtu mweusi laana kaka 🤣🤣🤣
Wale sio waarabuOne-sided story. 😁
Japo wavaa kobazi wa Irani imeanza kuwakubali kiaina kwenye uwanja wa vita.
USA peke yake hana uwezo wa kupigana na China wala Urusi nimebadilisha mtazamo wangu kuhusu USAYaani nilikuwaga nakuona una Akili timamu kumbe ni empty set hivyo !?
Yaani be honest Hilo ni tukio la kushangilia!!! Huoni kuwa USA inaonyesha udhaifu kukimbia !? Huoni kuwa USA wameonyesha udhaifu mkubwa sana Kwa ndege zao walizodai kuwa ni Invisibles kudunguliwa kama maembe !? Huoni kuwa ilipaswa kukupa mashaka na kukimbia kabisa huu Uzi kwasababu huko nyuma mlisha aminishwa kwamba Anga la Iran Lipo open hakuna ulinzi wowote but now suddenly tunaanza kuona ndege zikipopolewa kama maembe na kuanguka chini bad enough sio ndege tu Bali ni ndege vita ambazo tulidanganywa kwamba hazionekani kwenye radar
Kwa mtu mwenye Akili timamu Mwenye kujitambua kisawa sawa alipaswa kujifungia ndani na kujiuliza kisawa sawa Hawa USA mbona walitudanganya kiasi hiki now mbona wanapigwa mpaka ndege zao ghali duniani ilipaswa uanze kuuona uhalisia nakuachana na matango pori uliyo mezeshwa
Na wewe uwe unasoma kwa makini Wapi nimesema helicopter ilianguka? Nimekwambia imepigwa kombora na kuna fatal injuries.Muwe mnasoma na kuelewa. Helcopter ilishambuliwa, lakini haikudunguliwa, iliendelea na safari.
Dj mlete netanyahu tafadhali matamaa yake yamechangia kuiponza Nchi yakeHaya sio maneno yangu kina echolima endeleeni kupiga propaganda ila waandishi wa Israel wanaona uhalisia nyie wa vingunguti shupazeni
*********************
Israeli writer Alon Mizrahi:
🔻 It is becoming almost impossible today to keep track of the sirens and strikes across occupied Palestine: it seems to be happening everywhere, all the time—north, south, and center—by Hezbollah and Iran both jointly and separately: ports, air force bases, and Israeli military factories. These are the most intense attacks since the beginning of this war, and they continue in a clearly escalating direction that I have been warning about over the past ten days or so.
🔻 My feeling is that if things continue like this, “Israel” will be forced to kneel and surrender, or face total collapse and annihilation within weeks—not years or months, but weeks.
🔻 I am certain that the Israeli army’s top leadership already realizes this.