Recent content by MNANSO

  1. M

    Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Sawa mkuu maana katika maandishi yako inaonyesha una chuki kuu moyoni mwako kuhusu Magufuli inawezekana ukawa unaongoza humu JF, please forgive him, mwache Mungu ndie muhukumu wa haki maana kwake Mungu hakuna dhambi wala uovu. Mwache kwa aliyotenda kama hakutubu bas muda huu atakua analipwa kwa...
  2. M

    Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Itakua mzee Magufuli alikukosea mahali maana unamchukia kupita kiasi. Sasa Bwana Yesu Kristo anatutaka tusamehe saba mara sabini yaan tusamehe pasipo kikomo. Ikiwa sisi wanadamu tunamkosea Mungu na anatusamehe bas nasisi tuna wajibu wa kusamehe. Sasa usipomsamehe Magufuli nawewe Mungu...
  3. M

    Mali za mtoto wa Rais, Abdul Hassan zimeandikwa kwa Majina ya China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania

    Jesca alinunuliwa IST used kutoka Japan na baba yake, na hapo baba yake alikua rais
  4. M

    Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?

    Usipomsamehe nawewe Mungu hatakusamehe dhambi zako. Kina Sauli walikua wauaji ila Bwana Yesu aliwasamehe sasa wewe ni nani? wewe hujawahi kutenda dhambi? kwa taarifa yako waliofanya hayo kama waeomba toba ya kweli Mungu ameshawasemehe
  5. M

    Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    Hatuli, tunakula samaki wenye magamba na mapezi kama ilivyoandikwa katika biblia.
  6. M

    Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    Yesu kivipi? mimi nimetoa somo la kukataza kula nguruwe according to bible
  7. M

    Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    Sisi ni wakristo na hatuli nguruwe maana bible imekataza
  8. M

    Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

    https://youtu.be/dg_SqdXpcTk?si=kKNUhbamvDLH4E0N
  9. M

    Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    https://youtu.be/WVZx7GkGs3g?si=uRNbm3-jGCaekBZA
  10. M

    Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

    .
  11. M

    Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

    .
  12. M

    Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

    .
  13. M

    SoC02 Mfumo bora utakaoisaidia jamii hasa kwenye suala la Ajira

    Mbona inagoma kuvote? inaweka kiduara chekundu hapo kwenye vote
  14. M

    Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

    .
Back
Top Bottom