Recent content by mnankawe

  1. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Magufuli atawakata wengi 2020, wafuatao waandae kwa kukimbilia mapema

    Hivi huyu jamaa aliwahi mfanya nani mpaka mnamhofia hivi?
  2. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Nadhani alikuwa na plan ya kupiga chini Ualimu ili ajaribu fani hii ya telecom.
  3. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

    Inasikitisha sana.Huyu jamaa Kama sikosei aliwahi ajiriwa kama mwl.wa Diploma ya Ualimu pale Singida.Wakati fulani tukiwa chuo alisha nambiaga hii story!!
  4. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa vodacom unayumba. Wateja wengi walalamika kukatwa salio bila sababu

    Leo nadhani ni miongoni mwa cku walizopata hasara
  5. mnankawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A 380 at Julius Nyerere International Airport

    Haswaaa Mkuu!!Ni kweli kabisa usemacho
  6. mnankawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Pole Mkuu!!! Wanatongozwaga sana tu hao. Sidhani kama kati ya 10 hawawezi nyimwa wote.La msingi tu zungumza na mwenzio tu,muyaweke sawa
  7. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Nimemtukana mganga wa kienyeji

    [emoji23]
  8. mnankawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania So sad nimekuta mke wangu akigegedwa na house boy kwenye sofa nilizonunua mwenyewe

    Kwakuwa hadi sasa hujamchukulia hatua yoyote hadi unakuja kuomba ushauri,hayo ndiyo maamuzi sahihi
  9. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    [emoji2] [emoji2] Mkuu hii comment yako imenifanya nicheke na wife hadi [emoji23] sababu hata kwny bible kuna mtu alimtoa mwanaye kuwa sadaka
  10. mnankawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni uongo gani uliwahi kumuongopea mpenzi wako akaamini?

    Nadhani na yeye alikuwa akifurahia kavukavu
  11. mnankawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni uongo gani uliwahi kumuongopea mpenzi wako akaamini?

    Hivi kumbe kuna watu wanashobokea kadegree!!!
  12. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Natafakari sana hili.
  13. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Mkuu kuna mengine yanaitwa "Bitcoon"huku.Natilia shaka yatakuwa ndiyo matapeli yenyewe haya
  14. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Duuh! Mkuu kweli maisha ni darasa
  15. mnankawe

    JamiiForums Tanzania Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

    Hawa wanajeshi wa Zimbabwe wanachezea mpira golini kwa Mugabe,Mzee anataka apige count attack! Akiupata tu huo mpira lazima huyo Mkuu wa majeshi apigwe chini
Back
Top Bottom