Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Ni vema tu akakubali kuachia kwa amani. Na Mkuu wa Jeshi ampe heshima kama Rais Mstaafu wa nchi hiyo. Ingependeza zaidi
Hawa wanajeshi wa Zimbabwe wanachezea mpira golini kwa Mugabe,Mzee anataka apige count attack! Akiupata tu huo mpira lazima huyo Mkuu wa majeshi apigwe chini
 
Hawa wanajeshi wa Zimbabwe wanachezea mpira golini kwa Mugabe,Mzee anataka apige count attack! Akiupata tu huo mpira lazima huyo Mkuu wa majeshi apigwe chini
Picha tumeona kwa Makamu wake wa Rais.. Kwa hivyo wajiandae kisaikolojia
 
Hata hivo wamekifanyia Heshima sana kibabu hicho Kinachonga nchi kwa mke,Ilitakiwa kiwe jela kione majungu ya kuwaweka wapinzani wake jela,naona wananchi wako upande wa jeshi, kameharibu sana uchumi.
 
Mkuu pamoja kunasihi kuepusha rabsha au mauaji, mzee aachie kwa amani na apewe heshima zote za Rais Mstaafu bado unaona si jambo jema?
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.

Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?

Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?

Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.

Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
 
huyu mzee bwana, yani hata kukaa tu hapo anaonekana amekaa kwa shida....si aachie madaraka apumzike tu,

aiseee sijui cheo kina nn mtu nguvu hata za kuongea hamna lkn bado tu,
 
Kwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.

Hakujatokea mapinduzi Zimbabwe, jeshi limechukua nchi kwa muda baada ya kuona nchi inayumba. Na jeshi limeweka wazi kwamba hawajapindua nchi bali wanakamata wale viongozi wezi ndani ya serikali, hii ilibidi itokee pia hapa Tanzania kipindi Kikwete alipokuwa rais, jamaa aliichezea sana nchi yetu.
 
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.

Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?

Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?

Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.

Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
Wapi umeona Wazimb wamefanya maandamano kupinga asiondolowe zaidi ya kuwa upande wa jeshi, soma Picha hio,ashachokwa hana tija,kauwa uchumi wanataka mabadiliko,wapate mawazo mapya sio Yale ya miaka ya 60 Sera zake za uchumi zimeshindwa.
 
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.

Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?

Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?

Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.

Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
Aliwahi kushindwa na Morgan akakataa kutoka madarakani ndio kuvunja katiba
 
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?

Unakumbuka mkuu wa Jeshi alisemaje jeshi litashika nchi kwa sababu zipi? Alisema huyo mzee ananza kuvurunda uongozi kwa kuwaondoa waasisi wa ZANU PF bila sababu za msingi.

Na kwa kitendo cha kupata ushauri kutoka kwa Mke wake ni dhahir shahiri mzee amechoka si suala la kuangalia wananchi wanasemaje hapo, apumzike apewe heshima zote za Rais Mstaafu.
 
Mkuu pamoja kunasihi kuepusha rabsha au mauaji, mzee aachie kwa amani na apewe heshima zote za Rais Mstaafu bado unaona si jambo jema?
Hakuna damu itakayomwagika huyo cdf na Mugabe ni marafiki tangu walivyokuwa na miaka 20 ,walikuwa msituni pamoja

Kauli ya cdf hawana shida na bob Bali wanaomzunguka zanu pf

Hakuna hata risasi italayomwagwa ,wana settle maslahi yao tu na hata Bob akiondolewa ,ataondolewa kwa kubembelezwa na heshima

Kosa la Bob ni kumfukuza rafiki yao wa zamani vice ,hata Bob akikataa hakuna damu itakayomwagwa ,wanajuana hao hvyo watayamaliza kwa amani
 
Back
Top Bottom