Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,120
- 37,673
Ni whatsapp web mkuuAkikujibu niambie mkuu

Hajasema kashindwa. Kalileta huku na Wengine tupate somoWanaume tumepungua sana, hivi umeshindwa kulimaliza hili mkuu?
Code IPI ? Kwenye cm
Ipo. Usibishe. Umahitaji smartphone ya mlengwa, uwe na computer na internet! KwishaHakuna App inayoweza kuona msg za wasup za mtu mwingine...
Nasisitiza tena HAIPO...
Hii ni mbinu ya kutaka kutapeli watu tu hapa....!
Pole Mkuu!!! Wanatongozwaga sana tu hao. Sidhani kama kati ya 10 hawawezi nyimwa wote.La msingi tu zungumza na mwenzio tu,muyaweke sawaYalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,
Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,
Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,
Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??
Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?
Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??
Nimechanganyikiwa kabisa
Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakin hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, Ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani
View attachment 689337
Whatsapp web
Mkuu ficha ujinga wako chumbani sio kibarazani.Hakuna App inayoweza kuona msg za wasup za mtu mwingine...
Nasisitiza tena HAIPO...
Hii ni mbinu ya kutaka kutapeli watu tu hapa....!
Umemjibu vzrMkuu ficha ujinga wako chumbani sio kibarazani.
Serikali Ya Viwanda
Yaani Jamaa Wametengeza Kiwanda Utakaposafiri Kianze Uzalishaji
Unless hujui tafsiri ya neno Hack...Mkuu ficha ujinga wako chumbani sio kibarazani.
Huko siyo ku hackIpo. Usibishe. Umahitaji smartphone ya mlengwa, uwe na computer na internet! Kwisha
Kabla ya safari kaa nae mweleze kwa upole kabisa kama umegundua huo mchezo na akibisha muoneshe sms kama ushahidi, hii itakuwa ni sababu ya kuacha alichokuwa anafikiria kufanya kama ana khofu na mungu na anaipenda ndoa yake.Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,
Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,
Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,
Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??
Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?
Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??
Nimechanganyikiwa kabisa
Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakin hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, Ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani
View attachment 689337
Fanya hivi:
Ni hatari sana, ndo maana hii duniaya sasa ina laana sanaYalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,