Kandoro mwenyewe kavaa gwanda kwa kuwa anajua Mbeya hawadanganyiki ni wanamageuzi wa ukweli.
Kinana na Nape wanafanya tu mchezo wa kuigiza, mara wapande baiskeli, mara wapande bajaj, mara wale wali maharage, wale chai na vitumbua wamekaa chini, wabebe vitofali na kulima na jembe la mkono, yooote...