Msaada ku update software ya Z10

Msaada ku update software ya Z10

mmura

Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
94
Reaction score
12
nina simu yangu ya blackberry Z10 sasa hivi sipati application ya whatssApp, inaniambia ni update software yake kwa kutumia wi-fi nimejaribu kufanya hivyo imegoma, msaada kama yupo mwenye idea yeyote
 
kuna group kule FB la jamaa wanaotumia Bbery nakushauri ukacheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom