Ametumwa na Magamba huyo, siyo akili yake!Wakuu habari zenu nipo naangalia taarifa ya habari ya channel ten chama cha cuf kupitia mwenyekiti wake prof Ibrahim lipumba wamemshauri rais JK aunde serikali ya umoja wa kitaifa ili kuwe na uwiano utakaoleta katiba nzuri pamoja na tume huru ya uchaguzi
Maalim Seif Sharif Ahmad kashamweleza kuolewa ndio deal.
Mtumikie mume kwa utiifu matatizo yatakuwa historia.
Wakuu habari zenu nipo naangalia taarifa ya habari ya channel ten chama cha cuf kupitia mwenyekiti wake prof Ibrahim lipumba wamemshauri rais JK aunde serikali ya umoja wa kitaifa ili kuwe na uwiano utakaoleta katiba nzuri pamoja na tume huru ya uchaguzi

Kama JK anaweza aunde kwa kushirikiana na CUF, sisi hatutaki na hatuna muda