Recent content by mmongoro

  1. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Hamis Tabasamu: Darasa la Saba aliyewashinda wasomi wabobezi kura za maoni CCM jimbo la Sengerema

    Hakuna asiejua madudu ya wazi walioyafanya katika uchaguzi huo uzuri vyombo vya usalama vilikuwepo na vilishuhudia matukio mengi ya ubadhirifu muda ni mwalimu mzuri kwangu Martin Lubango alitosha kuiongoza sengerema
  2. mmongoro

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
  3. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Naomba mamlaka husika mlitazame hili kwa jicho la ziada picha linaanza raia wako tayari kusajili line zao kwa ambao tayari wamefanikiwa kupata namba za NIDA wakienda kwa watoa huduma Hakuna netwerk kutwa nzima mifumo ya kimtandao ni mibovu sijawahi ona hakuna netwerk hzo line tunasajil vipi? leo...
  4. mmongoro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu Mbalimbali za kuwanasa mademu kirahisi bila kutumia nguvu nyingi sana

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nakubal jeshiiiiii Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Kubeti Kulivyoharibu Maisha yangu/ how betting has ruined my life

    Ushakua addicted bro duuh unakaribia kuhitimu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mmongoro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, Hakuna urafiki wa Mwanaume na Mwanamke mzuri.Jana ndo TUMEVUNJA RASMI URAFIKI wetu

    Asisahau kuna homa ya Ini pia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mmongoro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, Hakuna urafiki wa Mwanaume na Mwanamke mzuri.Jana ndo TUMEVUNJA RASMI URAFIKI wetu

    Hahahahahahahha kule wanakokula tunda kimasihara haki nimecheka Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Maandalizi: Tujiandae kumshangilia mkuu kwa kuzuia laini zetu zisifungiwe

    Hahahahahhhahahahahhahha nimecheka balaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mmongoro

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna tatizo la umeme maeneo ya karakata huku airport toka jana jioni umeme hauna nguvu unawaka na kuzima kwani hili hamjaliona?
  10. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Karakata

    Habari zenu wakuu kuna tatizo la umeme katika maeneo ya Karakata na viunga vyake toka jana ssa7 jioni umeme hauwez kuwasha hata taa mbaya zaidi unapanda na kushuka na kila baada ya sekunde 10 unakata na kuwaka imekuwa kero kubwa vitu ndani vinaharibika hivi Tanesco hamlioni hili au ni dharau au...
  11. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

    Hahahahahaha duuuh unazingua
  12. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Halafu tunalalamika ajira ngumu.. hivi kweli!!

    Ashajua ulikuwa unataka kumgegeda weeee fisiiii mlooo huyu
  13. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Hivi guys, hii hali huwa inasababishwa na nini?

    Karibu serenget uenjoy we kila siku tandale folen na migari ya taka utakosaje kuchoka?
  14. mmongoro

    JamiiForums Tanzania Aliyeumwa na Paka amefariki, dawa ilipatikana Kenya

    Polen sn
Back
Top Bottom