Hamis Tabasamu: Darasa la Saba aliyewashinda wasomi wabobezi kura za maoni CCM jimbo la Sengerema

Kuna haja wagombea ambao ni wasomi kabla ya kwenda majimboni wakae chini na kujitafakari kwa kina sababu za kuelekea kushika nambari one ama kupata aibu kubwa. Vinginevyo wasomi wawe tayari kwenda kujifunza kwa std 7 namna ya kushinda kura haswa jinsi ya kupata kura za wajumbe wa kijijini
Kilichoshinda Sengerema ni hela!
 
Hakuna asiejua madudu ya wazi walioyafanya katika uchaguzi huo uzuri vyombo vya usalama vilikuwepo na vilishuhudia matukio mengi ya ubadhirifu muda ni mwalimu mzuri kwangu Martin Lubango alitosha kuiongoza sengerema
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Mbona sijamuona Annaclare Shija! Nae alitia nia
 
Ngeleja kafanya nini la maana mpaka wajumbe wamchague tena ?Tabasamu yupo na wana Sengerema. Nyie kina Ngeleja,Masha n.k mnaishi Dar mnakuja tu kutafuta ubunge Sengerema. Mkafie mbele.
Nachukia sn hii kitu!
Kwann sijui huku majiboni wanachagua watu wanaoishi dar!?
Ifike mahali kwakweli wachaguliwe wazawa haobwa dar wakagombee dar hukohuko
 
Wasomi wa nchi hii ni shida Sana. Siyo Sengerema tu ambako wasomi wameangushwa, ni majimbo mengi.

Sababu kubwa ya wasomi kuamguka ni kukosa kitu kinaitwa "social chemistry" (yaani hawana muunganiko mzuri wa kijamii) na watu wa Jimbo husika.

Wasomi wanadhani watachaguliwa kwa kutaja madigrii yao na kuonesha magari yao ya mikopo kwa wajumbe. Bado wana fikra za mwaka 47 kwamba watu wanababaishwa na vitu wakasahau utu.

Ndiyo maana wengi wameangukia pua.
Kabisa ,kina mwakyembe!
 
Sehemu nyingi Wajumbe wamewapigia kura wale wenzao wanaoshinda nao kila siku, kunywa nao kahawa na kukutana kwenye harusi/misiba. Sasa Ngereja kutwa yupo anapiga monde Darisalama na anaenda kule kulamba kura wapi na wapi?
 
Mkoa Mara umetoa Rais, PM, AG,CDF, IGP na wabunge ma Prof wakaingia kwny cabinet lakin una kitu gan cha maana?
Wangechagua huyo Engineer au huyo MD kwa ustawi mzuri maana hao wana uwezekano mkubwa kuwa kwenye cabinet ijayo ukizingatia tena ni kanda pendwa na Mh ana ugonjwa na hizo Dr na Eng.

Majimbo ambayo hayajawahi kabisa kutoa waziri yeyote yanaongoza kwa kuwa nyuma kimaendeleo hasa yanapokuwa vijijini.
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Kiherehere chake aliwahonga Wajumbe atakatwa tu mapema na biashara ya mafuta itafilisiwa
 
Mkoa Mara umetoa Rais, PM, AG,CDF, IGP na wabunge ma Prof wakaingia kwny cabinet lakin una kitu gan cha maana?
Unazungumzia zama za Ujamaa au Ubepali?

Kama hao mawaziri hawakufanya chochote then ni uzembe wao tu, Mawaziri wa sasa wanaanzia nyumbani kwanza.

Fuatilia REA.
 
Msingi wa hayo ni mapungufu ya Kikatiba ya kusema eti mtu Mwenye kujua kusoma na kuandika tayari hiyo peke yake iweze kumpa mtu sifa ya kugombea nafasi ya ubunge!

Miaka zaidi 50 bado tunasema ilimradi ajue kusoma na kuandika?

Marekebisho ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba bado yanahitajika sana!

Darasa la 7 ?

Halafu kuna watu mnaona Eti ni sawa?

Kazi za nyeti sana kwa vizazi vya sasa na badae siyo lelemama!

Tusijaribu kuichukulia poa!
 
Kwani kina Cleopa Msuya waliporekebisha kwao ilikuwa zama zipi?
Unazungumzia zama za Ujamaa au Ubepali?

Kama hao mawaziri hawakufanya chochote then ni uzembe wao tu, Mawaziri wa sasa wanaanzia nyumbani kwanza.

Fuatilia REA.
 
Kiherehere chake aliwahonga Wajumbe atakatwa tu mapema na biashara ya mafuta itafilisiwa
Hajahonga bwana. Hizo ni kashfa kutoka kwa wahongaji wakubwa kina Ngeleja. Na huyu mleta uzi am sure ni mtu wa Ngeleja. Hizi ni propaganda tu.
 
Kuna haja wagombea ambao ni wasomi kabla ya kwenda majimboni wakae chini na kujitafakari kwa kina sababu za kuelekea kushika nambari one ama kupata aibu kubwa. Vinginevyo wasomi wawe tayari kwenda kujifunza kwa std 7 namna ya kushinda kura haswa jinsi ya kupata kura za wajumbe wa kijijini
Shule sio pesa babu, mtu anamiliki gas station halafu nyie mnakuja na vi master's vyenu wakati mnajua fika mkono mtupu haulambwi
 
Wahenga tunasema Tunae kata nae kuni ndiye tunaota nae Moto na wakaongezea akufaae kwa dhiki nyie rafiki. Hamisi Tabasamu tumekuwa nae ametufaa kwa dhiki huyu ndio rafiki yetu tukae ota nae Moto.
 
Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hilo

Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja

Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia

Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema

1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)

Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Baba Pesa iyo unazijua Tabasam Petrol stations?
 
Sawa!! Akienda bungeni ataweza kujenga hoja zilizoshiba? Kuna kamati mbalimbali bungeni, atawekwa wapi? Kwenye maswala ya kukutana na nchi jirani, atawaambia nini wasomi?
wabunge kazi yao haihusishi kwenda kuongea nchi jirani bali kazi yao ni kuangalia matatizo ya jamii kwenye jimbo husika na kuziwasilisha bungeni.
 
Back
Top Bottom