Halafu tunalalamika ajira ngumu.. hivi kweli!!

gidume

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
743
906
Katika pita pita zangu nilikutana na classmate wangu wa mmda sana ila kama nikampita ila baadae sura ikanijia nikasema em sbr nikamsalimie.Vile nashuka kwenye gari akawa ameshapanda bajaji anaondoka nikasema namba yake sina naweza mcheki sehemu nyingine sasa kwakua mm ni mwenyeji na yeye ni mgeni nikapenda kama ajue kua ana wenyeji huku ko apate connection..btw ni mwanamke..

Bas nikamchek sehemu akaniambia mimi ndo nishaamisha yani nipo nipo tu nakaa nyumbani yani kama mama wa nyumbani nimechoka kweli..nikamwambia kwa kuwa tunawasiliana kila kitu kitakaa sawa kwamba ajue kampani ipo.

Ilipita siku nne bila kuwasiliana ila kuna tangazo nilipost kwenye mtandao wa kijamii kama likamvuta akanifata inbox. hivi ndo shughuli zako hizi! Naomba niajiri yaani nahangaika kweli kutafuta ajira nimechoka sana haya maisha na kweli me pia nikaona kuna nafasi mahali inahitaji mtu aliosomea chochote kile na kamshaara katamu kidogo cha kuanzia maisha na kazi simple tu.

Nikamwambia andika CV ukishakua tayari leta niambie nikupe addres kuna mtu namchek pale haitakuwa ngumu na nina uhakika unapata nafasi na nikamuelekeza adi aandikaje Cv ili qualify sbb najua hitaji kubwa la iyo taasisi..

Kesho ikapita nikasema kimoyoni labda anaandika CV siku nzima.Kesho yake akanichek ananiambia naomba nielekeze io sehemu naona PC yangu mbovu ko adi nikienda kutoa wapi sijui niipeleke..nikamwambia uwezi kwenda bila connection yangu mimi, kuna mtu nitampa jukumu hilo ukiwa unaelekea kwa hiyo uniambie ukiwa tayari ili nimpange akupokee, akasema sawa hamna tatizo.

Adi leo inaenda siku ya saba na nafasi imeshapatiwa muhitaji mwengine kwa kuwa ni mtu alikuwa anahitajika kwa namna yoyote..kakosa nafasi.

Halafu kwa uvivu wetu na uzito tunalalamika ajira ngumu..

Inasikitisha sana kwa jinsi maisha yakivyokuwa magumu natamani ata nirudi kwenye kuajiliwa..sema ndo vile ukikumbuka umepitia mengi na maji ya uraiani tulishayavulia nguo inatubidi kuyaoga..
 
Siku zote kwenye maisha usijaribu kujilinganisha na mwanamke uyo anajua ipo siku ataolewa ndio mana amekuwa mzito sana ila ndio ivyo wasomi baadhi tunashindwa kujielewa
 
Mkuu tatizo ulitaka mbunye kwa huyo manzi, hivi hakuna rafiki zako wa kiume ambao wapo serious na hawana kazi mpaka unalialia kisa hio sket moja?

Unayumba
 
Siku zote kwenye maisha usijaribu kujilinganisha na mwanamke uyo anajua ipo siku ataolewa ndio mana amekuwa mzito sana ila ndio ivyo wasomi baadhi tunashindwa kujielewa
siku hizi hakuna waoaji serious
 
1. Ni classmate wako wa muda sana, hadi ikakuchukua sekunde kadhaa kumkumbuka!
2. Ile unashuka kwenye gari, yeye anapanda bajaj!!
3. Namba yake hukuwa nayo
4. Yeye ni mgeni na wewe ni mwenyeji
5. Pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, lakini ukahisi anahitaji connection zako tena kabla hata hamkutana na kuongea!
6. Vile vile pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, huku yeye akiwa ni mgeni lakini ukajua pa kumpata!
 
5. Pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, lakini ukahisi anahitaji connection zako!
6. Vile vile pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, huku yeye akiwa ni mgeni lakini ukajua pa kumpata!
hahahahahah.. Chief ulivoshusha huu mzigo utafkiri uliumbwa kuconnect dots.
 
Katika pita pita zangu nilikutana na classmate wangu wa mmda sana ila kama nikampita ila baadae sura ikanijia nikasema em sbr nikamsalimie.Vile nashuka kwenye gari akawa ameshapanda bajaji anaondoka nikasema namba yake sina naweza mcheki sehemu nyingine sasa kwakua mm ni mwenyeji na yeye ni mgeni nikapenda kama ajue kua ana wenyeji huku ko apate connection..btw ni mwanamke..

Bas nikamchek sehemu akaniambia mimi ndo nishaamisha yani nipo nipo tu nakaa nyumbani yani kama mama wa nyumbani nimechoka kweli..nikamwambia kwa kuwa tunawasiliana kila kitu kitakaa sawa kwamba ajue kampani ipo.

Ilipita siku nne bila kuwasiliana ila kuna tangazo nilipost kwenye mtandao wa kijamii kama likamvuta akanifata inbox. hivi ndo shughuli zako hizi! Naomba niajiri yaani nahangaika kweli kutafuta ajira nimechoka sana haya maisha na kweli me pia nikaona kuna nafasi mahali inahitaji mtu aliosomea chochote kile na kamshaara katamu kidogo cha kuanzia maisha na kazi simple tu.

Nikamwambia andika CV ukishakua tayari leta niambie nikupe addres kuna mtu namchek pale haitakuwa ngumu na nina uhakika unapata nafasi na nikamuelekeza adi aandikaje Cv ili qualify sbb najua hitaji kubwa la iyo taasisi..

Kesho ikapita nikasema kimoyoni labda anaandika CV siku nzima.Kesho yake akanichek ananiambia naomba nielekeze io sehemu naona PC yangu mbovu ko adi nikienda kutoa wapi sijui niipeleke..nikamwambia uwezi kwenda bila connection yangu mimi, kuna mtu nitampa jukumu hilo ukiwa unaelekea kwa hiyo uniambie ukiwa tayari ili nimpange akupokee, akasema sawa hamna tatizo.

Adi leo inaenda siku ya saba na nafasi imeshapatiwa muhitaji mwengine kwa kuwa ni mtu alikuwa anahitajika kwa namna yoyote..kakosa nafasi.

Halafu kwa uvivu wetu na uzito tunalalamika ajira ngumu..

Inasikitisha sana kwa jinsi maisha yakivyokuwa magumu natamani ata nirudi kwenye kuajiliwa..sema ndo vile ukikumbuka umepitia mengi na maji ya uraiani tulishayavulia nguo inatubidi kuyaoga..
kwa uandishi huu usikute eti na wewe ni graduate kabisaaaaaa una vyeti
 
Nifanyie basi hiyo connection mimi mkuu
 
1. Ni classmate wako wa muda sana, hadi ikakuchukua sekunde kadhaa kumkumbuka!
2. Ile unashuka kwenye gari, yeye anapanda bajaj!!
3. Namba yake hukuwa nayo
4. Yeye ni mgeni na wewe ni mwenyeji
5. Pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, lakini ukahisi anahitaji connection zako tena kabla hata hamkutana na kuongea!
6. Vile vile pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, huku yeye akiwa ni mgeni lakini ukajua pa kumpata!
wewe Jamaa ni kwikwi nimecheka Sana umenyambua na kunyumbulisha
 
1. Ni classmate wako wa muda sana, hadi ikakuchukua sekunde kadhaa kumkumbuka!
2. Ile unashuka kwenye gari, yeye anapanda bajaj!!
3. Namba yake hukuwa nayo
4. Yeye ni mgeni na wewe ni mwenyeji
5. Pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, lakini ukahisi anahitaji connection zako tena kabla hata hamkutana na kuongea!
6. Vile vile pamoja na kwamba ulikuwa hujaonana nae kitambo, huku yeye akiwa ni mgeni lakini ukajua pa kumpata!
Investigation report done based on the facts above
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom