Recent content by mmmmmh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Inachukuwa muda gani tangu mwanamke ajifungue hadi kupata tena ovulation?

    inategemeana na unyonyeshaji.mie nilianza tena ilivofika miez saba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Mwaipenda_mwatalatala_kijijini_kumajabhu_kobhomu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

    Roho yangu inasita sana kutumia hizo njia lakini pia namuonea sana huruma mwanangu kumletea mdogoake kabla hata hajafikisha miaka miwili lkn pia....
  4. M

    JamiiForums Tanzania ITV: Vijiji 119 kukumbwa na njaa mkoani Mwanza

    Yaani mimi nalia na mahindi yangu.huku kwimba ni jua balaa
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza kuhusu Ufafanuzi, maswali, maoni na hoja kuhusu saikolojia ya mwanamke

    Namba 15
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    [emoji57]
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Nice story.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinisaliti, nilichomfanyia hatokaa anisahau daima

    Mmmmh
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Pumu ya ngozi (Eczema dermatitis)

    Daah ahsante sana mkuu ubarikiwe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Pumu ya ngozi (Eczema dermatitis)

    Naomba msaada unipe gharama za hizo dawa za kupaka na ambazo ni nzuri na mie nitumie.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Pumu ya ngozi (Eczema dermatitis)

    Hata mimi pia sina amani na nakosa kujiamini kwa sababu siwezi vaa nguo kata mikono hata kuwe na joto sana.full vikoti tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hawa malaki ya vijana wasio na ajira ipi hatma? bomu baya sana hili

    Ivi jamani kila mtu akiwa mjasiriamali nani atamuuzia mwenzie....halafu mitaji iko wapi...arrrrrrrrgh.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa mshahara kutoka kabla Xmas?

    Ubhaponiege mwa ipenda nkamu.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

    Muombe mungu tu umpate wa kufanana na wewe.unaweza umpate wa hizo sifa unazozitaka lakini ukute yalimo ndani hayamo...
Back
Top Bottom