Safari ya chadema Ikulu imekuwa na mtazamo wa tofauti pale baada ya kada mashuhuri kushawishika kulifikiria hilo, hakika kuishi kwingi kuona mengi ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Maandamano yaliyotaka yafanywe na asasi zisizo za kiserikali kudai marekebisho ya mswada wa katiba yamekwaa kisiki kikuu cha alshababu, Mpaka nawasilisha nikuwa kutokana na Tishio la alshabab hakutakuwepo kwani ni gharama na kazi kubwa kuhakikisha usalama katika maandamano yao.
Atakaye andamana...
He kumbe lowassa anamjua aliye muua nyerere na ushahidi wa picha, sauti na mikanda, what else do you know mr lowassa, heee maskini kumbe alitakiwa afe kabla ya uchaguzi wa 2005
Aliyaficha for the sake of nationa security sasa wenzake wanamfukuza ili wayaendelezee kwa kasi zaidi, ari zaid na nguvu zaidi weka hadharani lowassa with or without you nchi imesha amua kulianzisha
Tatizo hatuna ujasiri wa kujitangaza jamaa amedevelop Kaposi's sarcoma ambayo ni aina ya cancer ya ngozi inayo ambatana na Ukimwi ambao anao kwa muda sasa. Mnazunguka zunguka tu kwani ni wangapi umewaona wanapata hadi fungus za ajabu shauri ya ngoma. Ndio maana hata Muhimbili hawajasema kitu...
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.