ishanitokea na tulihangaika sana na hizo grip water,mafuta ya samak n.k,ukwel ni kama alivyosema mkuu fidelis,tatizo ni tumbo kujaa ges,mtoto alizoea kula kupitia mama,sasa ananyonya mwenyewe ni tatizo,itamchukua mwez 1 had 2 atakuwa vzr ni kawaida.imani yako pia ihusike mkuu dunia hii ina...