Mtoto analia sana nyakati za usiku

Mtoto analia sana nyakati za usiku

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Habar wanajf,nina mtoto wa kike umri wa wiki mbili huwa analia sana na kwa muda mrefu wakat wa usiku,anaweza kuanza saa 4 hadi saa 7 analia tu,hospital walitu grip water ya kutuliza chango lakin bado tatizo,pia tumempa mafuta ya samak lakin tatizo bado lipo.mchana hasumbui ila analala sana,je kulia sana usiku ni kawaida?.msaada plz
 
from my experience ni kawaida!
ila kitaalam zaid sifaham chanzo ni nini! wa kwangu ilikuwa giza likianza tu ni kosa! lakn huenda wakibadilika kadri cku zinavoenda..! wataishia kukupa hizohizo dawa! uwe unakemea pia (kama iman yako inakutuma) na uvamiz pia huibgilia kati..! hapo ndo utajua ni maana ya NANI KAMA MAMAAAAAAAAAA
 
Habar wanajf,nina mtoto wa kike umri wa wiki mbili huwa analia sana na kwa muda mrefu wakat wa usiku,anaweza kuanza saa 4 hadi saa 7 analia tu,hospital walitu grip water ya kutuliza chango lakin bado tatizo,pia tumempa mafuta ya samak lakin tatizo bado lipo.mchana hasumbui ila analala sana,je kulia sana usiku ni kawaida?.msaada plz

mkuu hio kwa kitaalaumu tunaita infantile colic anatokana na mtoto kuwa na gesii nyingi tumboni kutokana mnamlisha sana...

sasa unashauriwa kufanya hivi, baada ya kumnyonyesha mueke mtoto kwenye kitanda ukimlaza kwa tumbo iligesi itoke au hakikisha anacheua vizuri baada ya kula, kua na mazoea ya kufanya hivyo atapunguza kulia usiku
 
Msaada wenu plz
a
kuna mambo mengi ya kuangalia japo mimi siyo dr, watakwambia wengine wasomi wakusaidie apa . ila kama uko dar wakati mwingine joto la usiku uwasumbua watoto sana. Pili mchunguze wakati wa mchana na usiku, mchunguze utosini kichwani kama panacheza, nafikiri unajua watoto wachanga utosi ucheza, kama utagundua hauchezi au unacheza kwa shida sana. mkimbize haraka hospital kwa dr wa watoto specialist. kuna uwezekano kama hauchezi mzunguko wa maji kichwani haifanyi kazi vizuri hivyo maji yanaweza kuja kujaa kichwani, dalili hii ikianza uwafanya watoto waumwe kichwa sana usiku na hivyo kulia sana. na kushauri kama hautapata msaada wa kutosha apa JF nenda hospital. ukitaka unaweza kunipm nikuelekeze dr mzuri specialist wa watoto kwa dar!

Mwisho, sijajua imani yako iko vipi, ila kama wewe ni mkiristo usiku jitahidi kufanya maombi sana kwa ajili ya mtoto wako, wachawi upenda kuwachezea watoto sana usiku. watoto uona vitu vya ajabu sana. kumbuka kabla haujapata msaada kwa sasa akilia sana mpe untpain yoyote kwa maelekezo ya mtaalam! ndo hayo na mimi kama mzazi mwenzio nakupa pole ndugu.
 
mkuu usihangaike huwa inatokea kwa watoto wengi hata ilishanikuta nilitamani kuhama nyumbani lakini baadaye ya muda wa mwenzi mmoja iliisha
 
ishanitokea na tulihangaika sana na hizo grip water,mafuta ya samak n.k,ukwel ni kama alivyosema mkuu fidelis,tatizo ni tumbo kujaa ges,mtoto alizoea kula kupitia mama,sasa ananyonya mwenyewe ni tatizo,itamchukua mwez 1 had 2 atakuwa vzr ni kawaida.imani yako pia ihusike mkuu dunia hii ina mengi!!!!!
 
Habar wanajf,nina mtoto wa kike umri wa wiki mbili huwa analia sana na kwa muda mrefu wakat wa usiku,anaweza kuanza saa 4 hadi saa 7 analia tu,hospital walitu grip water ya kutuliza chango lakin bado tatizo,pia tumempa mafuta ya samak lakin tatizo bado lipo.mchana hasumbui ila analala sana,je kulia sana usiku ni kawaida?.msaada plz
Sio tu Kulia sana kwa mtoto usiku wakati mwengine Mtoto huwa anastuka stuka kisha ndio huanza na kulia. Kulia au kustuka kwake mtoto kunasababishwa nyumba yenu kuna aidha pepo wabaa au nyumba yenu munatembelewa na wanga usiku ndio maana mtoto anawaona na kuanza kulia usiku au mama mtoto ana pepo mbaya anamuinamia fanya hivi jaribu kila usiku anapolala mtoto jambo la kwanza kusiwe giza kuwe na taa sehemu anapolala mtoto, jambo la pili umfukize na magamba ya kitunguu saumu wakati wa kulala mtoto. Dawa zingine nitafute mimi ukiweza kunipata mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mzizi mkavu unakusudia amfukize mafusho eeh?
 
magamba hayo yanafanywaje?,ufafanuz plz
 
Ahsanten kwa ushaur wenu ngoja nishirikiane na mama mtoto tuufanyie kazi
 
Ni kawaida Sana Tu.akikua atabadilika,vile vile mumuangalie Kama amekojoa,mtoto usiku huwa anabadilishwa nepi.watoto wengine ukimzoesha kumbeba,akilia ukimbeba Tu ananyamaza,ukimlaza kitandani anaanza kulia,vile vile pengine njaa usiku,au tumbo kimejaa gesi,au vile vile usingizi Hana,Kama ulivyosema mchana kutwa analala
 
magamba hayo yanafanywaje?,ufafanuz plz
Kiswahili kinakugonga nini hujaelewa bado magamba ya vitunguu saumu unamfukiza mtoto unaweka ndani ya moto moshi wake uwe unampitia kidogo. ukitaka dawa kamili nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mwenye shida hajauliza unauliza wewe NimPENDENAN ? Kwani wewe pia una tatizo kama hilo? ndio unamfukiza kama mafusho.
Lol, sina tatizo hilo ila siunajua sie wa pwani vitu kama hivyo Habasoda havikosi nyumbani au tunakimbia mbia kwa Swalehe madawa kununua..........
 
Hiyo hali ni ya kawaida sana wala usihofu. Mimi mtoto wangu alikuwa analia mpaka sauti inakauka hadi na mimi nikawa nalia. Alipofiksha mwez na nusu hali ilikwisha kbs.
 
Mwana JF ni kama walivyosema wadau, hiyo ni hali ya kawaida sana kwa watoto wachanga. Baada ya muda ataacha kulia ila itachukua si chini ya wiki tatu. Muombe Mungu pia kwani na wanadamu pepo hupitia humohumo. Hupenda sana kuchezea watoto
 
Try this.....give her a pacifier and see what happens (although I know a two week old baby could be too young for one but it won't hurt to give it a go).

In addition, swaddle her and then rock her.

Also try to make sure that the air in the room is not so dry. If it is, buy a humidifier. It's also good to check the room temperature.

From my experience, there is a lot of trial and error when it comes to new babies because every baby is different.
 
Back
Top Bottom