Hapo utamu upo kwenye mteremko
unajua break nini ??
usiniulize kama hujui ila mm najua
Hahahahaaa sio break pumpu naamini
Cku hizi huo ubunifu haupo kwa maeneo mengi sana, kwanza wachina wameleta vidoli vya kila aina na baiskeli za watoto, pili miti cku hizi ni dili kutokana na uharibifu wa mazingira.
Katika ubunifu tutabaki kuwa wasindikizaji tu.
Hahahahaaa
Ndio kwanza nimeingia job/lindoni mpwa hapa ni mpaka alfajiri
Ni vigumu mno kujua
Hahahahaaa ni hivi simu yangu nimeinstall auto post na auto reply device, kwahiyo nimeiprogram ikifika muda Fulani inapost au kureply