Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 790
Wadau,
Ebu tumsikilize kijana huyu akihojiwa na Salama.
Ebu tumsikilize kijana huyu akihojiwa na Salama.
Anahoji, kama wangechukua maoni ya rasimu ya mapendekezo ya Walioba kwa asilimia 100,wao wajumbe walienda kufanya ninibungeni, kupiga mihuli?
Napenda ningejua kama kaalikwa kwenye hicho kipindi au kajialika mwenyewe, kuwahoji watu wa aina yake ni kulitia nux taifa
Anadai kiongozi anayemvutia tz ni prof. Wa kichina jk
Huyo jamaa ni tapeli nguli.... hana jipya elimu ya kuunga unga.. kadisco kama mara tatu hivi... watu waliosoma Muccobs miaja ya 2007 wanamjua jama Feki pastor
Huyo mbowe wako hata maana ya GPA haijui
Huyo mbowe wako hata maana ya GPA haijui