Mbunge wa Jimbo la Rorya (CCM) ,LAMECK AIRO ameamua kutumia helkopta kufanyia kampeni ya uchaguzi wa serikali ya Mtaa.Anazunguka kijiji kwa kijiji.
Hata hivyo habari kutoka Shirati zinaeleza kuwa watu kadhaa wanahofia kufariki dunia na wengine wamejeruhiwa vibaya, baada ya dereva aliyekuwa akiendesha gari la abiria, alikuwa akishangaa helkopta ya Airo iliokuwa ikipasua anga.
WATU wa Shirati tujuzeni habari zaidi juu ya tukio hili.