Naibariki Jumatatu yako

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Haijalishi umenielewa, hujanielewa

Unanipenda, unanichukia
Umeenda, kanisani ujaenda
Naibariki Jumatatu yako.


MUNGU akakuhifadhi kwa damu ya YESU
 

BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
2,000
umeanza wizi au we baraka unazitoa wapi hata utubariki?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom