Recent content by mmc

  1. M

    Hii sio aina ya maisha niliotaka kuishi, sikutamani kupata mtoto kabla ya ndoa

    muacha azae,kukosa kwenu malengo kusimkoseshe kiumbe kutouona ulimwengu. ata Mimi Hi km wewe,ila sijadiliki kuua.
  2. M

    Majambazi yavamia kituo na kuua polisi wawili Ikwiriri Rufiji

    bukombe kaka! siraha zilipatikana na walikamatwa,ila wako rumande,
  3. M

    Matokeo ya NBAA yametoka

    Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna . asante.
  4. M

    Kama Ulikuwa Haujawai Kuwaona Panya Road Waone Hapa

    serikali idhibi haraka,itakuj kuw km boko haram nigeria
  5. M

    Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

    lazima usamehe mana ata wewe uko ulikokuwa kikazi uliwagonga wa wenzio.
  6. M

    Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

    haloow,mbona hatukuelew!!!!
  7. M

    Matokeo St. Agustine Mwanza yanatia aibu

    sasa matokeo yao ya kidato cha nne tu waliya-standardize, degree unategemea nini. Ni halali yao bwana.
  8. M

    Faida 10 ya kufanya kazi ya ualimu serikalini

    mm binafsi sitaacha kazi serikalini
  9. M

    Mpenzi wangu hataki nichukue namba za simu za rafiki zake

    Yaweza kuw aliyekuw nae kabla yako atakuwa alinyang'anywa kwa style hiyo
  10. M

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    da nmecheka sana,huyo mwl alikuwa mtambo
  11. M

    Waislamu wauliwa kinyama

    Hii habari îpo kidaku sana,mimi sidhani kamaàpa nchini kuna kijiji wanaishi watu wa dini moja tu,kwan iyo kodi walitakiwa kulipa watu gan? Mimi naona urekebishe heading na taarifa pia,sema watu(usitaje dini) na sio waislam
Back
Top Bottom