Kwa huo ufaulu wake hapo kwanza tumpongeze amejitahidi sanaa ila kwa bahati mbaya ameshindwa kuballance combination kitu ambacho kitamuwia ugumu kuchanguliwa direct na serikali hivyo basi ningependa kukushauri umtafutie shule nzuri ya binafsi kama Malati Secondary school iliyopo Morogoro...
Tatizo la brevis ni bei yake haiendani na gharama zake za uendeshaji iko very cheap
so vijana tunaojichanga huku na huku miaka 3 kupata 12m ya usafiri ni ngumu kumanage huduma zake
kwa maisha yetu ya kibongo hayaa yoyote anaemiliki gari hata iwe paso na anadrive bila shida yoyote ni wakupewa...
kwa gari zote ulizozitaja hapo juu nadhani zipo nyingii tu mtaani huku which means zinamudu mazingira ya kibongo
Japo pochi yako inabidi iwe ndefu kidogo kuinjoy vizuri huduma ya hayaa magari
ingawa ilikua ni movie(niliwahi itazama) ila huu uzi umenipa mwanga flani kujua kwamba huenda kuna ukweli ndani yake (na iliandikwa based on the true story)
story yake ni mapadre ambao walikua wanatoa mapepo makali kwa kuwafunga watu kwenye msalaba
wacha nifatilie hili kwa mababa wa roho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.