Brand ipi ya magari ya Ulaya zinaendana na mazingira yetu?

hiden

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
376
691
Wakuu,

Tukiachana na Japanese Car's. Je ni brand zipi za ulaya ambazo zinaendana na mazingira yetu? Brand hizo ni kama VW, Mercedes Benz, BMW, Ranger rover, jaguar, Ford, Jeep nakadhalika

Japa namaanisha
1. Barabara zetu
2. Upatikanaji wa Spares
3. Upatikanaji wa Mafundi
4. Gharama za Service
5. Ulaji wa Mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa gari zote ulizozitaja hapo juu nadhani zipo nyingii tu mtaani huku which means zinamudu mazingira ya kibongo
Japo pochi yako inabidi iwe ndefu kidogo kuinjoy vizuri huduma ya hayaa magari
 
Inategemea na matumizi ya gari na budget yako, maana hao watengenezaji wote wana gari za on-road na off-road. Ila kwa sasa VW ana project ya kutengeneza very reliable cars na zenye maintenance cost kidogo. So kwa Afrika, unaweza kuzimudu zaidi. Range Rover, Jaguar sikushauri kama unahitaji gari la matumizi ya kila siku.
 
BMW je? 5 series F10?
 
Wakuu,
Tukiachana na Japanese Car's, je ni brand zipi za ulaya ambazo zinaendana na mazingira yetu? Brand hizo ni kama VW, Mercedes Benz, BMW, Ranger rover, jaguar, Ford, Jeep nk
Japa namaanisha..
1. Barabara zetu
2. Upatikanaji wa Spares
3. Upatikanaji wa Mafundi
4. Gharama za Service
5. Ulaji wa Mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa gharama nafuu ni VW na Audi.
 
Back
Top Bottom