Mawazo ya sisi wanadam yanatofautiana sana unaweza kuwa na mshangao mkubwa kutokana na uamuz wa mtu, huwez jua nn Kimemsibu mpaka kufikia uamuz huu, lakin kwa nyakati za sasa ya utandawaz tunakabiliwa na ugonjwa wa UPWEKE Sana
Habari mkuu nitoe shukran kwako kwa kutuelimisha baadhi ya bidhaa feki na og binafs nahitaji home theatre system ya kisasa , iliyo original watts kubwa yenye Bluetooth pia yaan nikiufungulia uonekane mziki haswa, karibu mkuu
Huyu dada mstaarabu sana nampa hongera, sio kama wengine wakiachana na wapenz wao kazi yao kutangaza mabaya ya mwenzako kama vile yeye malaika, good usiwe kama Joyce kaachwa analalamika kila kukicha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.