Jamani Wachumba wamitandaoni kwa kweli sina uhakikanao, mimi yaliyonikuta sio madogo ndugu zangu, wengi hawafai, unaweza kuingia mkenge ukajutia maishani, watu wana tabia na malengo mbalimbali, kuna washirikina, wachawi, majambazi, malaya nk. unajua mchumba kuna uwezekano akaja kuwa mke au mume...