Wewe ni mmiliki wa viwanja au Dalali.
Inakuwaje mpaka umepima na umekata viwanja huna bei ya uhakika.
Viwanja sio mitumba kwamba bei ni kupanga na kupangua.
Halafu ukuwa wa viwanja ni upi
kuna vitu ukiweka wazi yaani weka bei ya awali na ukubwa wa viwanja.
Hii ndio itamshawishi mtu aweze kukupigia sim.La sivyo watu wataona kama tangazo limekaa kisanii.
Hata ni Dalali,jaribu kutafuta details za eneo husika ili usije ukabeba lawama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.