Je safari hii tupate rais mwenye PhD au MPhil? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je safari hii tupate rais mwenye PhD au MPhil?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanamayu, May 20, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Plato alipendekeza huko kwao enzi zake mafilosofa wawe watawala kwa sababu kuu mbili: wana uwezo wa kutawala na mbili hawapendi kutawala. Wanasiasa wa kwetu ni wa kawaida na hawana uwezo wa kutawala, na wanapenda sana kutawala kiasi kwamba wako tayari hata kuhonga ili wapate kuchaguliwa (Mwalimu Julius K. Nyerere, 1990s, pp. 8).

  Mimi naona ni vizuri tukapata rais kutoka kundi la wanasiasa wasio kuwa wa kawaida kwa maana ya wale wenye digrii za kweli za PhD na MPhil ili watuokoe kwenye ili balaa linaloletwa na wasioweza kuongoza ila upenda sana kufanya hivyo mmojawapo JK. Filosofa ninao ona wanafaa ni John Pombe Magufuli, Slaa. Lakini wasiwe wale waliotoka kwenye orodha ya mafisadi wa elimu na Hosea.

  Ukitaka kujua Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwenye jambo hili wewe angalia jinsi familia ya JK ilivyokuwa na uchu wa madaraka wakati uwezo mdogo ukianzia JK mwenyewe, mkewe ndio usiseme!
   
 2. B

  Bull JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA watakupinga kwa hili! Sababu huko hakuna wasomi wenyesifa utakazo, Mbowe?????? Mchungaji Slaa alie na Dr. ya kujisomea kitabu cha nabii paul?? Kwa criterial hiyo chadema nje. Tutegemee ccm tena au CUF
   
 3. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Kwani Kitila yuko chama gani?
   
 4. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Kati Nchi tano tajiri duniani kuna hata mmoja ilishawahi kuwa na kiongozi ambaye ni Phd holder ya darasani zaidi ya Gordon Brown?...Phd inafaa zaidi kwenye umakamu wa raisi na kwenye ukatibu
   
 5. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi sana ndugu yangu asikudanganye mtu.
  Sema nchi za wenzetu kuitwa Dr. ama Prof mara nyingi mpaka uwe unafundisha, kama hufundishi hiyo title wanaitoa ktk utangulizi wa jina lako. Wana siasa wakwetu wanapenda sifa ndio maana unaona wanajita ma prof wakati hawafundishi
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kama ni mwanafalsafa basi asiwe na FANI YO YOTE MAANA hao wote uliowasema kila mmoja doctorate yake ni katika fani fulani. ikiwa ni mwanafalsafa basi awe amesoma falsafa yenyewe na si speciality kama ya chemistry (magufuli) Canon Law (slaa), Law (Hosea) Economics (lipumba)... hivi JK amesomea nini?
  And don't say amesoma uchumi.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  OBAMA has a Juris Doctorate in Law if I am not mistaken. Ila wenzetu hawapendi kujitangaza hovyo hovyo kama bongo. Bongo wanajitangaza mno ni kama majina ya ukoo
   
 8. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tunahitaji mtu mchapa kazi, muadilifu, msikivu, muungwana, mkweli, mnyenyekevu, muaminifu na mfuatiliaji. Vyeti si tija, fani si tija, ila ni haiba na hulka za mtu ndizo zinazogomba Tanzania!

  Kwa nini tusimpe nafasi hii ya Urais safari hii Mkulima, Mvuvi au Mhunzi? Ikiwezekana hata Machinga na Mchuuzi wa Kariakoo inabdi tumfikirie naye apate nafasi sawa.
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Lumbe you are right,ukiangalia Senate na Congress ya Marekani majority wana Juris Doctor(JD) lakini hata siku moja hawajiiti ma Dr kama Tanzania.Hata Askofu Pengo ananyo JD lakini hajjiti ovyo ovyo.Angalia Gordon Brown former MP wa UK anayo lakini hukumsikia hata siku moja !

  Watanzania tunajisikia sana ,ndio maana kuna wabunge na mawaziri wameharibu kabisa mantiki ya Phd!

  Nilihoji Phd ya Magufuli(uhalali na independence)!Niliwauliza watu nani alikuwa supervisor
  wake!Je supervisor wake angeweza kukataa thesis ya Magufuli(akijua ni Waziri)?
  Kuhusu Slaa hapasi kujiita Dr kabisa!

  Fumbuka,Masaburi,Kamala,Nagu wote ni dalili ya ufukara wa kielimu Tanzania
   
 10. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa watu wanajiita au ni sisi tunawaita???????????
   
 11. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2015
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,555
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  ILITABIRIWA na IMEKUWA HONGERENI CCM KWA KUTUPATIA JEMBE
   
 12. luckyline

  luckyline JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2015
  Joined: Aug 29, 2014
  Messages: 8,526
  Likes Received: 4,050
  Trophy Points: 280
  wacha izo jk aliingia na ka degree lakini mpaka mda huu akilala akaota asubui anatunukiwa u dr ahaaaa
   
 13. M

  Mlonda Member

  #13
  Aug 28, 2015
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilibahatika kufanya kazi na wamarekani kwa miaka 5, ilinichukua mda mrefu kugundua mabosi wangu wa 2 kutoka marekani kuwa ni ma-professors baada kusomasoma papers mbalimbali walizoziandika. So wenzetu kwao hawapendi kutumia sana kwa kuanza na Dr.Pro. ktk majina yao, ukikuta anatumia some time Dr. Ijue ni ya medicine.
   
Loading...