Wachumba wa mitandaoni.

Wachumba wa mitandaoni.

Hahahaha umemjibu vizuri pengine mkuu anajua wachumba wa mtandao wanaishi kwenye RAM au CPU
stunna unadhani nina mtindio wa ubongo kuuliza hilo swali,I just wanted to know whether the relationship zinalead to marriage.
 
Last edited by a moderator:
Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii???au ndio wanataka kuweka cha dislikee
Looh, apana kipo nyuma ya avartar yako geuka utakikuta hapo !! ... "NETWORK UNDER MAINTENANCE"
ubarikiwe mema na utajiri.
 
Bora umwambia sijui ye anawaza vp? anajua wa huku wanasura tofauti

Nilitaka kupewa shuhuda kama huwa yanadumu,sio kama wanaishi kwenye mitandao,Think before you leap.
 
Sina la kuongeza baada ya mchangiaji kunena kuwa watu wa mtandaoni ni wale wale waliopo mitaani. Niongezee tena ni wale wale waliopo ofisini, wenye kazi zao, wenye hela zao na haiba zao ndio maana wanamudu hata gharama za kupata mtandao, wenzenu tumepata watu wenye heshima na kazi zao kupitia mtandaoni. DINAM UPO????
 
Hahahaha umemjibu vizuri pengine mkuu anajua wachumba wa mtandao wanaishi kwenye RAM au CPU

Ahsante! Nimecheka sana... Wachumba ni hao hao tu. Nimesikia watu kadhaa walikutana Facebook na wakaubaliana kufunga ndoa.
Jua tu mbinu za kupinga mizinga zinatofautiana. Mbaya zaidi huku kuna matapeli kibao, mijianaume anajiita mwanamke ili awatapeli wanaume kupitia picha.
 
Yana matunda tu kikubwa ni wahusika wenyewe, ni sawa na mtu kapiga missed call watu wana develop urafiki mara wana set appointment mwisho wa siku wanafanya kweli. Hapo kilichobadilika ni strategy tu
 
Sawa ni hao hao wa mtaani unaemwona hamjawezana naye seuze mtu wa kutafuta kwenye mtandao

watu wanatofautiana bidada, inawezekana utaekutana nae humu utawezana nae kuliko hao unaowasema wewe, kuna ndoa zimefungwa humu na hao watu walikutana humu humu. sio vizuri kuwataja majina ila too bad wengine wamegoma kurudi kwa ids zao za zamani after ndoa..
 
Jamani Wachumba wamitandaoni kwa kweli sina uhakikanao, mimi yaliyonikuta sio madogo ndugu zangu, wengi hawafai, unaweza kuingia mkenge ukajutia maishani, watu wana tabia na malengo mbalimbali, kuna washirikina, wachawi, majambazi, malaya nk. unajua mchumba kuna uwezekano akaja kuwa mke au mume wako sasa ni bora ukawa makini, wanawake siku hizi wananyunyiza (kupuliza) kwa sana coz wote wanapenda kuolewa. So take care guys.
 
wanadumu wapo me na mifano miwili, miaka zaid ya10 wapo ktk ndoa sasa

Hili ndilo jibu sahihi.Wengine wametunga maswali na kupata majibu yao.That's so good.
 
Jamani Wachumba wamitandaoni kwa kweli sina uhakikanao, mimi yaliyonikuta sio madogo ndugu zangu, wengi hawafai, unaweza kuingia mkenge ukajutia maishani, watu wana tabia na malengo mbalimbali, kuna washirikina, wachawi, majambazi, malaya nk. unajua mchumba kuna uwezekano akaja kuwa mke au mume wako sasa ni bora ukawa makini, wanawake siku hizi wananyunyiza (kupuliza) kwa sana coz wote wanapenda kuolewa. So take care guys.

True that!!Thanks
 
watu wanatofautiana bidada, inawezekana utaekutana nae humu utawezana nae kuliko hao unaowasema wewe, kuna ndoa zimefungwa humu na hao watu walikutana humu humu. sio vizuri kuwataja majina ila too bad wengine wamegoma kurudi kwa ids zao za zamani after ndoa..

Hili ndilo jibu sahihi kwa swali langu!!Na sio ile kebehi ya mwanzo.
 
Umeona eeh....!
Unaweza kupata apple mwingine akapata sungwi yote ni matunda

Shost hebu nipe faida za sungwi mwalimu wakati anafundisha Topic ya Nutrition nilidoji mwenzio
 
Back
Top Bottom