Medical Laboratory Technician anahitajika

Medical Laboratory Technician anahitajika

Hosea Ben

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
69
Reaction score
15
Naomba ushauri wenu wadau maana najua humu kuna wataalamu wa fields mbalimbali.
Nina mpango wa kuanzisha Medical Laboratory ktk maeneo ya kijijini penye wakazi zaidi ya 3000. Na ktk eneo hilo kuna zahanati ya serikali ambayo inahudumia watu wa kijiji hicho na vijiji vingine jirani ambavyo vinaunda jumla ya wakazi zaidi ya 20,000. Nimeshaanda Business plan, lkn ninachohitaji ni orodha ya vifaa muhimu vinavyotakiwa yaan Medical lab equipment na bei yake kama inawezekana ili nimalizie business plan yang ktk upande wa start up costs maana sehemu hii ni centre ya bplan.
Tuwasiliane kwa simu: 0752238263.
Email: hoseabenjamin88@gmail.com
 
Kabla ya kukushauri vifaa vya kununua ni bora ukaenda kwa District/Regional Medical Laboratory Technologist akague eneo akuruhusu kufungua, pia atakupa ushauri. Ili baadae wasijekukufungie.
 
Back
Top Bottom