Recent content by mlokole halisi

  1. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Uchawi na kilimo

    Mungu pekee ndio jibu la yote ndugu
  2. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Tazama Maisha na mali zinavyomuijilia kila mtu duniani kabla ya kufilisika

    mtoa mada salaaaM Nina wazo kuwa fursa kama fursa huwa ipo siku zote za maisha ya mtu endapo ataijua na kuitumia vyema......kumbuka kuna wanafanikiwa ujanani wengine huwatokea hata wakiwa wazee..... NB: NAHISI KWA MIFANO YAKO ULIAMUA KUWABANA WALE WAWILI KANA KWAMBA MAAMUZI YAO HAYAKUWA SAHIHI...
  3. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Zinaa katika uislamu....

    katika kujibu kwako nimeona una hekima Fulani na utulivu pia kujiamini.....nimeupenda huu Uzi sababu yako ndugu.......barikiwa zaidi
  4. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    hivi hili suala liliishia wapi naomba kujuzwa
  5. mlokole halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NINA TATIZO GANI ?? AU NI KAWAIDA?

    pole kwa tatizo ni vyema ukawaona wataalamu
  6. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli marehemu baba wa taifa alikuwa hajui kuendesha gari

    mchana uwe mwema kwenu wadau
  7. mlokole halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, kwa nini napenda mwanamke anaelia kwenye 6*6

    humu yawezekana kuna watoto wengi miaka hii ya karibuni .......unisamehe mtoa mada yawezekana ukahisi nimekulenga wewe
  8. mlokole halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipendi kuishi sehemu moja muda mrefu, je nina tatizo? Hata kazi kila baada ya miaka 4 inaniboa natamani nihame

    tatizo la ki-saikologia tafuta wataalamu.... Leo usingizi umenitupa hadi sa hizi nipo hapa ???????
  9. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Tulioacha kunywa pombe 2019 tukutane hapa

    mziache wakuu sio nzuri......zina piga sana mifuko
  10. mlokole halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake njooni mseme ukweli

    well said
  11. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Hiyo ndio ilikuwa Mbuguni (Kwa sasa Mererani) enzi hizo

    mkuu endelea tu naona kuna mengi ya kujifunza humu
  12. mlokole halisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa 'tomboys' huku Iringa ni janga la kimkoa au?

    daaaah nimecheka sana mkuu
  13. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Vituko vya marehemu

    Write your reply... hahahaha
  14. mlokole halisi

    JamiiForums Tanzania Vituko vya mochwari

    sijaelewa
Back
Top Bottom