Tazama Maisha na mali zinavyomuijilia kila mtu duniani kabla ya kufilisika

Mwaka una siku 365 hizi siku zote ni fursa..
Sasa wewe ukiniambia kwamba fursa inakuja mara moja nakua sikuelewi..

Fursa zinazokuja mara moja na hazijirudii tena ni kuzaliwa na kufa..nukta
hayo ya kufa ni matukio siyo fursa!
mafanikio huja kama kamisheni !
hizo Siku 365 ndizo zinakufanya ulenge tundu la mafanikio
 
KILA MTU ANAFUNGU LAKE LA UTAJILI KWA WAKATI WAKE

Maisha ni fursa, Maisha ni safari, ili ufike unakokwenda lazima uchague njia sahihi ya kukufikisha.

Maisha huongozwa kwa matamanio!
Utajili na Umasikini vimetenganishwa na Matamanio!
Ili uwe tajiri ni lazima ujuwe kupangilia Matamanio yako!
Utofauti wa mali kati ya mtu na mtu huchangiwa na kufeli kwa mipangilio yenye matamanio( KIPAUMBELE)

kwa mfano:
Watu watatu marafiki waliokuwa na ndoto za utajili baada ya kumaliza shule yao, waliajiliwa pamoja katika ofisi moja kwa mshahara sawa, baada ya mda kutokana na pesa walizochuma /kopa walikuwa huru kila mmoja kufanya MATAMANIO YAKE!

wa kwanza akanunua gari nzuri kwa ajili ya kuwahi kazini kutokana na changamoto ya usafiri,ndoto yake ni kumiliki Gari zuri ikiwa kama sehemu ya mafanikio yake!
wa pili akanunua kiwanja na akaanza kusimamisha mjengo haraka kwa sababu alisikia ushauri kuwa wenye akili wanajenga kwanza!

Watatu yeye kwasababu mama yake alimsomesha kwa kuuza chakula, Alitamani kuboresha biashara iliyomsomesha akaamua kuboresha biashara na mama ake na kufungua duka la vinywaji vya jumla na rejareja huku baadhi ya pesa kidogo akanunua mifugo huko kijijini!
Wote watatu hawa walitimiza Azimio la matamanio yao katika kuufikia utajili!

NINI KILIFUATA BAADA YA HAPO?
Kutokana na mikopo yao! wa kwanza aliyenunua gari alitembelea mwaka mmoja tu akaamua kupaki maana aliandamwa na deni la mkopo huku pesa aliyokuwa akiipokea ikiishia kulipa bima, service, mafuta,parking,kodi na faini za barabarani HADI ile furaha aliyotarajia ikaanza kuyeyuka!

Wa pili aliyenunua kiwanja alifanikiwa kujenga boma lote na bahati mbaya pesa ilimwishia punde baada ya kuweka mbao za kenchi zikalala zikipigwa jua na mvua bila bati!

wa tatu alifanya biashara akapata faida kiasi cha kununua kiwanja na kujenga taratibu kwa faida iliyotokana na biashara iliyosimamiwa na mama yake!

KILICHOENDELEA BAADA YA HAPO
Kwa bahati mbaya sana Bodi na taasisi yao baada ya kuonekana haina faida katika nchi IKAFUTWA NA RAIS WA NCHI HIYO!

KWA MFANO HUU
Ninachotaka kusema ni hivi!

Maisha ni vile unavyotanguliza KIPAUMBELE,
  • Mafanikio huja kama mvua za msimu,
  • Mafanikio ya mtu nayanafananisha na tairi lenye tundu linalozunguka ambapo kila binadamu mwenye mkuki anatakiwa kuchoma tundu lile ili afanikiwe, kwahiyo ukibahatika kulenga tundu choma kwelikweli, maana ukichomoa hutachomeka tena kwasababu tundu litakuwa limehamia kwa mwingine!
  • Kila mwanadamu kaumbwa na fursa yake, ukikosea tu ndo basi tena;
HISTORIA KWA WALIOTUTANGULIA
Mtakubaliana na mimi kwamba;
Ukiuliza wazee maskini wengi waliojilani yako watakwambia kauli kama hizi;
  • Mwaka fulani nilipata pesa nyingi sana lakini kwa wakati huo sikufikilia kufanya chochote hadi zikaisha.
  • Mimi enzi za ufichana wangu ningeolewa na (Jina Mkubwa) lakini sikuhitaji Mme kwa wakati huo.
  • Mwaka fulani tulivuna mazao mengi sana sema hatukuwaza kujipanga kuwekeza!
Kwa mifano hiyo ya wazee ni dhahili kila binadamu anakutana na nafasi ya utajili Mara moja katika uhai wake, Tatizo ni vile tu tunafeli kutokana na Vipaumbele vya matamanio yetu.

  • Wapo waliowahikupata pesa wakakimbilia kuoa na pesa ikakata.
  • wapo waliopata pesa wakajenga nyumba wakitalajia watapata zingine wanunue gari lakini hawajapata hadi leo,
  • wapo walionunua magari wakitalajia mirija itaendelea wajenge lakini wameshindwa hadi leo wamepanga.
  • wapo waliopata pesa za madini wakazichezea wanachimba had I Leo.
  • wapo waliokuwa wakuu wakafukuzwa kazi n.k
Ni Changamoto sana kujua kuitumia Fursa;
FURSA HUJA MARA MOJA TU IKIJIRUDIA NI ZARI;
Golden Chance Never comes Twice
Mkuu mifano ulioleta umetulazimisha tuamini katika kile uhaminicho wewe maana umelazimisha afanikiwe alieanzisha biashara tu uku wengine ukiwawekea vikwazo vingi Siku nyingine ukija kutuelimisha tumia mifano inayowapa/wanyima fursa wote sio unatumia mfumo wa upendeleo kwa unaetaka abebe dhima yako...... Afu kumbuka fursa haiji bali ipo kwa kila mwenye kuiona leo(aliye hai) ni wewe namna gani unaitumia na haina maana kuwa ukiipoteza fursa leo basi kesho hauna fursa.... fursa zinakwisha pale pumzi inapokata
 
mtoa mada salaaaM

Nina wazo kuwa fursa kama fursa huwa ipo siku zote za maisha ya mtu endapo ataijua na kuitumia vyema......kumbuka kuna wanafanikiwa ujanani wengine huwatokea hata wakiwa wazee.....
NB: NAHISI KWA MIFANO YAKO ULIAMUA KUWABANA WALE WAWILI KANA KWAMBA MAAMUZI YAO HAYAKUWA SAHIHI ILI WAZO LAKO LA BIASHARA NDIO KIPAUMBELE ZAIDI LIWASILISHWE UNAVYOHITAJI pasipo kujua kuwa hakuna anayefanya kitu kwa hasara kwa mfano ,mkulima,mvuvi,mfugaji, mjenga nyumba I.e anayepangisha watu wote hulenga faida kutokana na wanachokifanya hata huyo wa gari anaweza kulitumia kama tax muda mwingine ili kuongeza kipato
 
Si kweli kuwa fursa huja mara moja tu maishani. Fursa zipo nyingi zinatuzunguka, sema wengi wetu hatuzioni.

Na ukiharibu fursa ya kwanza haimaanishi huwezi kufanikisha kupata fursa nyingine na ukaitumia vyema.

Muhimu ni kujifunza tu je, nini kilisababisha ukashindwa itumia vilivyo fursa ya kwanza?
Yes indeed ... nakubaliana na hili kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hili bandiko ulilo lileta " kwakweli linatoa changamoto kubwa Sana kwako ya kuwafanya watu wenye akili timamu waweze kukubaliana na baadhi ya yale uliyo yaeleza " .. natamka wazi kwamba thread yako ni nzuri lakini kuna sehemu kadhaa umepuyanga " haswaa hapo ambapo umesema kuwa fursa katika maisha ya mwanadamu huja mara moja .. nakataa hilo na nina lipinga vikali sana "

Binafsi nina rafiki yangu ambaye aliwahi kuwa na maisha ya level ya kati mnamo miaka ya 2009 baada ya kuwa na uchumi mzuri alitokea kuwa mtu wa starehe sana enzi zile za music wa band ndio ulikuwa unatamba alikuwa amefikia mpaka hatua ya kumwaga mwaga pesa kwenye stage akiwa ana watunza wasanii " .
.
Baada ya miaka mitatu mbele akaja kufilisika na moja ya watu walio changia anguko lake alikuwa ni mama yake na peti money " ... kijana alitaabika sana na maisha ili fikia mahali alikuwa analala mpaka kwenye mabanda ya video " ila hakuchoka akawa ana pambana baada ya miaka miwili kupita tangu afikwe na ajali ya kuanguka kiuchumi " mungu si athumani akaja kusimama tena " jamaa yangu huyu ni mfanya biashara " baada ya miezi nane tu kupita tangu alipoanza kusimama akanunua mark X na kuiboresha biashara yake na kuwa ya kisasa zaidi ... hii ilikuwa mwaka 2014. .. so nachelea kusema kwamba napinga kile ulicho kisema kuwa katika maisha ya mwanadamu fursa kwake huja mara moja "

Kwanza mtoa mada nataka ufahamu jambo moja " kimsingi maendeleo ya maisha ya mwanadamu yanapatikana pale ambapo binaadamu huyo " Atakapo kuwa anakosea kosea katika ufanyaji wa jambo au kitu fulani " pindi anapo kosea kama nimtu ambaye ni positive kukosea kwake huwa kuna mpatia hamasa ya kutafuta suluhisho la matatizo yake na hatimae hujikuta anashinda vikwazo na kuwa mtu mwenye mafanikio ndio maana mwana michezo .msanii .msomi.etc ili waweze kufanya vizuri katika tasnia yao ni lazima wafanye mazoezi (wana michezo/wasanii) na wafanye test nyingi baada ya kujisomea ili waweze kuvuka hatua fulani wanayoipitia ili waweze kupanda daraja (wasomi )

" hivyo basi kuanguka kimalengo/kiuchumi na maisha kwa ujumla wake kwa mtu/watu fulani haiwezi kuwa sababu ya mtu /watu hao kutofanikiwa tena bali yaweza kuwa sababu ya kuwafanya watu hao wajifunze kutokana na makosa kisha wakaja kufanya vizuri zaidi ya walivyo fanya awali na hii huwa ni matokeo ya faida za kujifunza kutokana na makosa

huwa inatokea kwa mtu/watu waliowahi kuanguka kimaisha kushindwa kunyanyuka tena " sikatai lakini mara nyingi hii huwa kuta wale watu ambao huamua kukata tamaa ya kupambana na kutafuta utatuzi baada ya anguko lao " hutokea pia kwa watu ambao tayari wanajiona kuwa wao ni wazee hivyo basi hawana nguvu tena ya kufikiri nguvu ya mwili wala nguvu yenye msukumo wa mawazo yenye kiu ya mafanikio (tamaa) kama ambavyo huwa kwa baadhi ya vijana hivyo wazee hawa haumua tu kukubaliana na hali iliyofika kwa sababu hujihisi kuwa maisha yao yameshafika ukingoni

Ila kwa watu ambao ambao wapo positive Na maisha yao (haswaa kundi la vijana ambao bado wakati una waruhusu )..Aise huwa wanaanguka kisha wanajikung'uta vumbi wana inuka na kuanza safari ya maisha upya na hatimae huwa wana zifikia ndoto zao " . ...MSINGI WA MAFANIKIO KATIKA MAISHA UPO KWENYE MAKOSA YETU YA KILA SIKU ENDAPO UTAAMUA KUYAGEUZA MAKOSA YAKO KUWA FURSA BASI HUO NDIO UTAKUWA MWANZO WA MAFANIKIO YAKO " ....kabla Abraham Lincoln hajawa raisi wa marekani .Abraham alikuwa ni mtu ambaye amesha jaribu kufanya vitu kibao lakini akawa ana ambulia kufeli lakini hiyo haijawahi kuwa sababu ya kumkatisha tamaa ili asiweze kuyafikia malengo yake " ..

Asante mkuu "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidanganyiki ng'o kwa dar public transport ni mateso tupu.Gari ni muhimu.

Full stop.
Okay si wote wana magari lakini mnakutana kazini kwa wakati usafiri Dar nikuwahi kuamka tu basi utawahi kufika sehemu unayokwenda

#bamia_ndefunene
 
Mkuu mifano ulioleta umetulazimisha tuamini katika kile uhaminicho wewe maana umelazimisha afanikiwe alieanzisha biashara tu uku wengine ukiwawekea vikwazo vingi Siku nyingine ukija kutuelimisha tumia mifano inayowapa/wanyima fursa wote sio unatumia mfumo wa upendeleo kwa unaetaka abebe dhima yako...... Afu kumbuka fursa haiji bali ipo kwa kila mwenye kuiona leo(aliye hai) ni wewe namna gani unaitumia na haina maana kuwa ukiipoteza fursa leo basi kesho hauna fursa.... fursa zinakwisha pale pumzi inapokata
hahahah soma tena utaelewa! utajiri ukigoma basi utakosa hadi hela ya kula!
nilichosema utajiri huja kwa msimu! ukichezea msimu inakula kwako!
haimaanishi utakosa hela ya kula hapana, kula utakula lakini utajiri utausikia tu!
 
Mkuu hili bandiko ulilo lileta " kwakweli linatoa changamoto kubwa Sana kwako ya kuwafanya watu wenye akili timamu waweze kukubaliana na baadhi ya yale uliyo yaeleza " .. natamka wazi kwamba thread yako ni nzuri lakini kuna sehemu kadhaa umepuyanga " haswaa hapo ambapo umesema kuwa fursa katika maisha ya mwanadamu huja mara moja .. nakataa hilo na nina lipinga vikali sana "

Binafsi nina rafiki yangu ambaye aliwahi kuwa na maisha ya level ya kati mnamo miaka ya 2009 baada ya kuwa na uchumi mzuri alitokea kuwa mtu wa starehe sana enzi zile za music wa band ndio ulikuwa unatamba alikuwa amefikia mpaka hatua ya kumwaga mwaga pesa kwenye stage akiwa ana watunza wasanii " .
.
Baada ya miaka mitatu mbele akaja kufilisika na moja ya watu walio changia anguko lake alikuwa ni mama yake na peti money " ... kijana alitaabika sana na maisha ili fikia mahali alikuwa analala mpaka kwenye mabanda ya video " ila hakuchoka akawa ana pambana baada ya miaka miwili kupita tangu afikwe na ajali ya kuanguka kiuchumi " mungu si athumani akaja kusimama tena " jamaa yangu huyu ni mfanya biashara " baada ya miezi nane tu kupita tangu alipoanza kusimama akanunua mark X na kuiboresha biashara yake na kuwa ya kisasa zaidi ... hii ilikuwa mwaka 2014. .. so nachelea kusema kwamba napinga kile ulicho kisema kuwa katika maisha ya mwanadamu fursa kwake huja mara moja "

Kwanza mtoa mada nataka ufahamu jambo moja " kimsingi maendeleo ya maisha ya mwanadamu yanapatikana pale ambapo binaadamu huyo " Atakapo kuwa anakosea kosea katika ufanyaji wa jambo au kitu fulani " pindi anapo kosea kama nimtu ambaye ni positive kukosea kwake huwa kuna mpatia hamasa ya kutafuta suluhisho la matatizo yake na hatimae hujikuta anashinda vikwazo na kuwa mtu mwenye mafanikio ndio maana mwana michezo .msanii .msomi.etc ili waweze kufanya vizuri katika tasnia yao ni lazima wafanye mazoezi (wana michezo/wasanii) na wafanye test nyingi baada ya kujisomea ili waweze kuvuka hatua fulani wanayoipitia ili waweze kupanda daraja (wasomi )

" hivyo basi kuanguka kimalengo/kiuchumi na maisha kwa ujumla wake kwa mtu/watu fulani haiwezi kuwa sababu ya mtu /watu hao kutofanikiwa tena bali yaweza kuwa sababu ya kuwafanya watu hao wajifunze kutokana na makosa kisha wakaja kufanya vizuri zaidi ya walivyo fanya awali na hii huwa ni matokeo ya faida za kujifunza kutokana na makosa

huwa inatokea kwa mtu/watu waliowahi kuanguka kimaisha kushindwa kunyanyuka tena " sikatai lakini mara nyingi hii huwa kuta wale watu ambao huamua kukata tamaa ya kupambana na kutafuta utatuzi baada ya anguko lao " hutokea pia kwa watu ambao tayari wanajiona kuwa wao ni wazee hivyo basi hawana nguvu tena ya kufikiri nguvu ya mwili wala nguvu yenye msukumo wa mawazo yenye kiu ya mafanikio (tamaa) kama ambavyo huwa kwa baadhi ya vijana hivyo wazee hawa haumua tu kukubaliana na hali iliyofika kwa sababu hujihisi kuwa maisha yao yameshafika ukingoni

Ila kwa watu ambao ambao wapo positive Na maisha yao (haswaa kundi la vijana ambao bado wakati una waruhusu )..Aise huwa wanaanguka kisha wanajikung'uta vumbi wana inuka na kuanza safari ya maisha upya na hatimae huwa wana zifikia ndoto zao " . ...MSINGI WA MAFANIKIO KATIKA MAISHA UPO KWENYE MAKOSA YETU YA KILA SIKU ENDAPO UTAAMUA KUYAGEUZA MAKOSA YAKO KUWA FURSA BASI HUO NDIO UTAKUWA MWANZO WA MAFANIKIO YAKO " ....kabla Abraham Lincoln hajawa raisi wa marekani .Abraham alikuwa ni mtu ambaye amesha jaribu kufanya vitu kibao lakini akawa ana ambulia kufeli lakini hiyo haijawahi kuwa sababu ya kumkatisha tamaa ili asiweze kuyafikia malengo yake " ..

Asante mkuu "

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachotaka wewe nikujifariji tu, lakini ukweli ni kwamba utajiri unakuja kwa msimu kwa kila mtu, ukifanikiwa kuutumia msimu wako vizuri ndipo unatajirika ukifeli ndo imetoka utabaki kupata hela ya kula, ikirudia tena inakuwa umepambana kwelikweli!
hizo siku 365 mtu hupambana kuchoma tundu la mafanikio!
 
mtoa mada salaaaM

Nina wazo kuwa fursa kama fursa huwa ipo siku zote za maisha ya mtu endapo ataijua na kuitumia vyema......kumbuka kuna wanafanikiwa ujanani wengine huwatokea hata wakiwa wazee.....
NB: NAHISI KWA MIFANO YAKO ULIAMUA KUWABANA WALE WAWILI KANA KWAMBA MAAMUZI YAO HAYAKUWA SAHIHI ILI WAZO LAKO LA BIASHARA NDIO KIPAUMBELE ZAIDI LIWASILISHWE UNAVYOHITAJI pasipo kujua kuwa hakuna anayefanya kitu kwa hasara kwa mfano ,mkulima,mvuvi,mfugaji, mjenga nyumba I.e anayepangisha watu wote hulenga faida kutokana na wanachokifanya hata huyo wa gari anaweza kulitumia kama tax muda mwingine ili kuongeza kipato
kaka fursa za utajiri zilivyo siyo kila siku zitakujia HAPANA!
Mnapenda kupewa maneno ya kuwafariji ili mbaki maskini.
Fursa ya utajiri haipatikani kila siku,fursa ni kama Mpira Wa miguu!
milingoti ya magoli ipo kila siku lakini katika dakika 90 ukifanikiwa kupenyeza goli ndio ushindi utapatikana, hivyo ndivyo utajiri nao ulivyo! kupata hela ya kula ni kama mkabaji na mtoa pasi
 
Mkuu unachotaka wewe nikujifariji tu, lakini ukweli ni kwamba utajiri unakuja kwa msimu kwa kila mtu, ukifanikiwa kuutumia msimu wako vizuri ndipo unatajirika ukifeli ndo imetoka utabaki kupata hela ya kula, ikirudia tena inakuwa umepambana kwelikweli!
hizo siku 365 mtu hupambana kuchoma tundu la mafanikio!
Najifariji tena ...wakati mpaka mifano nime kutolea duh !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hili bandiko ulilo lileta " kwakweli linatoa changamoto kubwa Sana kwako ya kuwafanya watu wenye akili timamu waweze kukubaliana na baadhi ya yale uliyo yaeleza " .. natamka wazi kwamba thread yako ni nzuri lakini kuna sehemu kadhaa umepuyanga " haswaa hapo ambapo umesema kuwa fursa katika maisha ya mwanadamu huja mara moja .. nakataa hilo na nina lipinga vikali sana "

Binafsi nina rafiki yangu ambaye aliwahi kuwa na maisha ya level ya kati mnamo miaka ya 2009 baada ya kuwa na uchumi mzuri alitokea kuwa mtu wa starehe sana enzi zile za music wa band ndio ulikuwa unatamba alikuwa amefikia mpaka hatua ya kumwaga mwaga pesa kwenye stage akiwa ana watunza wasanii " .
.
Baada ya miaka mitatu mbele akaja kufilisika na moja ya watu walio changia anguko lake alikuwa ni mama yake na peti money " ... kijana alitaabika sana na maisha ili fikia mahali alikuwa analala mpaka kwenye mabanda ya video " ila hakuchoka akawa ana pambana baada ya miaka miwili kupita tangu afikwe na ajali ya kuanguka kiuchumi " mungu si athumani akaja kusimama tena " jamaa yangu huyu ni mfanya biashara " baada ya miezi nane tu kupita tangu alipoanza kusimama akanunua mark X na kuiboresha biashara yake na kuwa ya kisasa zaidi ... hii ilikuwa mwaka 2014. .. so nachelea kusema kwamba napinga kile ulicho kisema kuwa katika maisha ya mwanadamu fursa kwake huja mara moja "

Kwanza mtoa mada nataka ufahamu jambo moja " kimsingi maendeleo ya maisha ya mwanadamu yanapatikana pale ambapo binaadamu huyo " Atakapo kuwa anakosea kosea katika ufanyaji wa jambo au kitu fulani " pindi anapo kosea kama nimtu ambaye ni positive kukosea kwake huwa kuna mpatia hamasa ya kutafuta suluhisho la matatizo yake na hatimae hujikuta anashinda vikwazo na kuwa mtu mwenye mafanikio ndio maana mwana michezo .msanii .msomi.etc ili waweze kufanya vizuri katika tasnia yao ni lazima wafanye mazoezi (wana michezo/wasanii) na wafanye test nyingi baada ya kujisomea ili waweze kuvuka hatua fulani wanayoipitia ili waweze kupanda daraja (wasomi )

" hivyo basi kuanguka kimalengo/kiuchumi na maisha kwa ujumla wake kwa mtu/watu fulani haiwezi kuwa sababu ya mtu /watu hao kutofanikiwa tena bali yaweza kuwa sababu ya kuwafanya watu hao wajifunze kutokana na makosa kisha wakaja kufanya vizuri zaidi ya walivyo fanya awali na hii huwa ni matokeo ya faida za kujifunza kutokana na makosa

huwa inatokea kwa mtu/watu waliowahi kuanguka kimaisha kushindwa kunyanyuka tena " sikatai lakini mara nyingi hii huwa kuta wale watu ambao huamua kukata tamaa ya kupambana na kutafuta utatuzi baada ya anguko lao " hutokea pia kwa watu ambao tayari wanajiona kuwa wao ni wazee hivyo basi hawana nguvu tena ya kufikiri nguvu ya mwili wala nguvu yenye msukumo wa mawazo yenye kiu ya mafanikio (tamaa) kama ambavyo huwa kwa baadhi ya vijana hivyo wazee hawa haumua tu kukubaliana na hali iliyofika kwa sababu hujihisi kuwa maisha yao yameshafika ukingoni

Ila kwa watu ambao ambao wapo positive Na maisha yao (haswaa kundi la vijana ambao bado wakati una waruhusu )..Aise huwa wanaanguka kisha wanajikung'uta vumbi wana inuka na kuanza safari ya maisha upya na hatimae huwa wana zifikia ndoto zao " . ...MSINGI WA MAFANIKIO KATIKA MAISHA UPO KWENYE MAKOSA YETU YA KILA SIKU ENDAPO UTAAMUA KUYAGEUZA MAKOSA YAKO KUWA FURSA BASI HUO NDIO UTAKUWA MWANZO WA MAFANIKIO YAKO " ....kabla Abraham Lincoln hajawa raisi wa marekani .Abraham alikuwa ni mtu ambaye amesha jaribu kufanya vitu kibao lakini akawa ana ambulia kufeli lakini hiyo haijawahi kuwa sababu ya kumkatisha tamaa ili asiweze kuyafikia malengo yake " ..

Asante mkuu "

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu umechambua vizuri sana hii makala!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka una siku 365 hizi siku zote ni fursa..
Sasa wewe ukiniambia kwamba fursa inakuja mara moja nakua sikuelewi..

Fursa zinazokuja mara moja na hazijirudii tena ni kuzaliwa na kufa..nukta
Binadamu bana yeye amemaanisha kuwa kwenye maisha kuna kipindi Mungu anakubariki unajikuta umepata pesa nyingi au kazi nzuri au mazao mengi lakini huitumii iyo fursa kuendeleza ulichopata haimaanishi hutapata tena ila hautakuja kupata kama ulichokipata mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom