Zikikupanda hata yeye si ataisugua tu
Nikiamua........,kwanini uchepuke,
Soma vizuri nilichoandika.......au kila unaemuona ana feature fulani unataka kumuonja?
Girlfriend/wife is not everything for boys/men, we can live without them happily.😎😎
Don't pressure yourself.
Peace.
I like you Kasie
Mwanzo nilikua sikuelewi but now I appreciate your sense of humor .
You are in your own little island Smoking lord knows what.
😊😊
Hahahhahahahaaa
Hakuna kitu kitamu kama kuwa peak aka kuwa high high up above the sky halafu nyegee nazo ziko fulu wuuluuu hehehehe hehehehe
Thanks Karuu, and I thank God I like the way I am more and more..... #enjoying being me....
You just remind me about KIKUNGU and Mentor..... smoking weeds....
K’ Matata
Mahaba Matata
Weed was awesome those days.
Right now I wouldn't touch it.
Motherhood duties wouldn't let me.
Thank you. Best regards to yours.All the best and hi5 to the kids.
Thank you. Best regards to yours.
They are very complicated,and bear in mind that there is no fixed formula when dealing with a woman...
Sent using Jamii Forums mobile app
well saidTatizo mnatuchukuliaga kwamba tupo very complicated wakati sivyo.
Mwanamme asimame kama mwanamme, abebe majukumu ya familia kwa maana ya kutimiza mahitaji ya familia.
Amheshimu na kumjali mke wake kwa hali na mali. Kumpa company na sio ya kumchungulia kyupi tuuu. Na aiangalie familia ya wakwe kama anavyoangalia ya wazazi wake pia. Kushauriqna katika masuala ya kifamilia.
Kuwa mwalimu ama kiongozi wa mke wake pale anapoona amekosea step. Kumfundisha mambo mapya mfano siasa, ama kukaa nae kuangalia mpira kumfundisha rules etc.
Kumpiga turumba. Hili neno turumba mara ya kwanza na mwisho nililisikia kwa baba yangu fundi magari wakati navunja ungo. Hakukaa akaremba maneno yake. Alituambia tu pigweni turumba weee mpaka ifuke moshi. Nilipokuwa ndo nilielewa. So ndugu msomaji, mpige mkeo turumba weeeee ndo miongoni mwa yanayotakiwa katika ndoa.
duh umenikumbusha chimbo moja linaitwa Tururamba lipo karibu na Law School Sinza/Sim2000. Chimbo moja hatari sana lile sijui kama bado lipoTatizo mnatuchukuliaga kwamba tupo very complicated wakati sivyo.
Mwanamme asimame kama mwanamme, abebe majukumu ya familia kwa maana ya kutimiza mahitaji ya familia.
Amheshimu na kumjali mke wake kwa hali na mali. Kumpa company na sio ya kumchungulia kyupi tuuu. Na aiangalie familia ya wakwe kama anavyoangalia ya wazazi wake pia. Kushauriqna katika masuala ya kifamilia.
Kuwa mwalimu ama kiongozi wa mke wake pale anapoona amekosea step. Kumfundisha mambo mapya mfano siasa, ama kukaa nae kuangalia mpira kumfundisha rules etc.
Kumpiga turumba. Hili neno turumba mara ya kwanza na mwisho nililisikia kwa baba yangu fundi magari wakati navunja ungo. Hakukaa akaremba maneno yake. Alituambia tu pigweni turumba weee mpaka ifuke moshi. Nilipokuwa ndo nilielewa. So ndugu msomaji, mpige mkeo turumba weeeee ndo miongoni mwa yanayotakiwa katika ndoa.
Hahaaaa.duh umenikumbusha chimbo moja linaitwa Tururamba lipo karibu na Law School Sinza/Sim2000. Chimbo moja hatari sana lile sijui kama bado lipo
nakazia1: Tunapenda kufahau suala lake la kiuchumi.
2: Ucheshi, kiasi na busara.
3: Wapole
4:like a queen
5: kuongea kiasi ila kuchat kila wakati.
6: Avae apendeze yaani awe mtanashati.Asivae hovyo hovyo. Mavazi yawe yenye hadhi na itategemea sehemu anapoenda. Na awe msafi.
7: Hamna mwanamke anayependa kusikia
mwanaume wake ana mwanamke mwingine. Inaumiza na kutia kichefuchefu kwa pamoja.
8: tunapenda wanaoonyesha wanatupenda kwa vitendo. Hata kama hawasemi.
9: Hatuchepuki.
10: Hamna jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mtihani sio lazima kujibu maswali yote. Just be focused.Maswali mengi
Punguza kidogo
Naona priority zako "on a sack" umeamua kubaki nazo moyoni. Good for you.1: Tunapenda kufahau suala lake la kiuchumi.