Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,863
- 5,094
Ujue uchawi upo kwenye kila sekta ya uzalishaji mali, maofisini & majumbani n.k.
Muhimu ni kujiweka sawa tu kuanzia nyumbani wewe pamoja na familia yako & kazini kwako.
Maana mchawi/mwanga lengo lake hasa ni kukurudisha nyuma na kukukomesha yaani akishindwa kukuroga wewe ataroga mke, watoto au yoyote aliyoko kwenye familia yako na akiwakosa wanafamilia atataka kukukomesha katika kazi unayofanya lengo lake hasa upate tabu, shida, maafa na dhiki ili usiendele.