Hawa mbuzi wa Dar tunaoshinda nao Bar na kugombea nao madem wananifikirisha sana,hivi nani aliwahi kumchinja mmoja akakakutana na mauza uza??
Maana kila mtu anasema ni mbuzi mara dawa mara wa albadiri eti ukila lina kukuta jambo,nani aliwahi kukutwa na jambo au mtu wake wa karibu kwa kujaribu...
Nani alikwambia kwamba aliachia madaraka kwa hiari yake??hujui kama mashinikizo toka nje baada ya Hali yq uchumi kuwa mbaya kiasi cha kutomithilika ma majaribio mengi ya kutaka kumpindua ndo yalimfanya ajiuzuru?? Au hujui kuwa Nyerere ndo rais aliyejaribu kupinduliwa mara nyingi zaidi ktk...
Uanaume ni kujipangq,mm naamini untakiwa uwe na assets za familia na assets zako ninafsi,zile assets zako ndo zitakusaidia ukiwa na uhitaji wa haraka haraka!!
Kwahiyo ukiwa tajiri na ndugi zako wote wanakjwa matajiri?? Acha kubenesha watu misqlaba isiyowahusu,kilq mtu anapambana kwa mahitaji yake na malengo yake,hatupambanii ukoo!!
Kwa dunia ya leo mwnye uhitaji wa ndoa ni mwanamke,sasa hatakiwi kukupangia masharti as if unaenda kufanyiwa judgement huyo mchungaji akisema yes ndoa ipo akisema no hakuna ndoa,ww amuq kama unaoa au unaenda kupangiwa taratibu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.