Ssi watanzania tuna mapungufungu katika support pale inapohitajika ,Wanamtwara Big up sana Gesi ibakie mtwara .Faida kibao mtapata kama jamii zilizozungukwa na migodi .Naamin hakuna siasa ndani ya hili .
Washikaji jana nimeanza weeknd na kimeo balaaa ,Katika sehem niliyo kuwa nimetulia nilishare meza na mama moja ukimuona utazani bibi hivi,basi alipokolea kinwaji nilishangaa sana kuniambia kuwa hajawahi olewa na miaka 39 ,hana mtoto aliniomba nimtaftie Mchumba na yafuatayo mchumba wake huyo...
Nashukuru sana ndugu zangu kwa ushauri wenu ,Nemeamua kumuaoa Kipenzi changu ,pia na mtoto nimeamua kulea,kwani hv sasa nimeamua kumpeleka shule yuko darasa la 3, yote maisha kwani ajuae ni mola .Niombeeni ndoa njema.
Amerudi na mtoto wa kitasha ,aliniacha maskin sasa nina fedha si kama Lowasa aaa ,ya kubadilisha tu mboga yaaan tajiri wa kati nifanyeje ndugu .Ila Mtasha wake alifariki katk Vita huko Afghan
Ni Kweli kaka watu wa tarime ni wastarabu sana isipokuwa yanayosemwa mengi ni perceptions za mtu binafsi.Na hiyo ipo kila mahali Duniani .Utaskia Wahaya wako hivi, Wahehe wanajiiiiii,Wagogoo nao Mhiiiii nk So haya ni Maono tiu ya watu hakikisha mwenyewe.Karibu Tarime.
Da pole sana jaribu kuwa na subira na pia jifunze kujitegemea zaidi kuwa creative hata ka ni ndizi uza isiendeshwe na Tamaaa ,wengi ni maskini wa fedha ila tajiri wa afya .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.