Mwanaume KAMILI

Mwanaume KAMILI

Mwanaume kamili ni yule ambaye huwezesha familiya yake kula ,kulala ,kuvaaa na matibabu .Amani zaid .
 
thereabouts..hiyo tag haitakuwa mbali na mfano wa ulichok-describe kwenye poem yako..
....and malaika duniani = non-existent!

Non-existent to you. . .it doesn't surprise me.
 
I wish I would become one. Siku hizi wanaume na wanawake wanavaa suruwali. Mwanamke mzuri ni anayefahamu mahala pake na kuridhika na hali yake. Mwanamume kamili ni yule mwenye speed ya 1000 Tera Hertz na ana respond kabla ya kuwa ordered. BLUE MONDAY.
 
Wakati kuna wanawake wanataka wawezeshwe na wanaume, Mwamvita Makamba amejiwezesha kwa style hii, huyu ni mwanamke kamili.

HaX44.jpg
 
haya.....nevertheless, good luck with your search for a non-existent "malaika duniani". lols...

Mbona unang'ang'ana sana na hiyo non-existent? Kama wewe unaona kwamba hata ukijitahidi huwezi ukafikia hata robo ya hapo ni vizuri ukaamini kwamba ni wewe tu ndie uliyeshindwa na sio kila mtu.
 
Wakati kuna wanawake wanataka wawezeshwe na wanaume, Mwamvita Makamba amejiwezesha kwa style hii, huyu ni mwanamke kamili.

HaX44.jpg

Watu wanaohitaji kuwezeshwa ni watu wasiojiweza. . .
Sasa kama hawajiweze wafanyaje kama sio kutafuta wa kuwawezesha?
 
Mbona unang'ang'ana sana na hiyo non-existent? Kama wewe unaona kwamba hata ukijitahidi huwezi ukafikia hata robo ya hapo ni vizuri ukaamini kwamba ni wewe tu ndie uliyeshindwa na sio kila mtu.

show me aliyefikia hata 75%! i swear i will self-transform, take a charge at you and marry you....and marry you i can, honey.
 
Hii nimeipenda kwa kweli, nimepata picha the type of mwanaume wapenda.... Ulie mdiscribe yupo Perfect, In reality ni ngumu saana kumpata but wenye bahati zao wanapata, na hopefully utawa mmoja wao...

Kwa upande wangu Mwanaume kamili ni yule ambae ananielewa ipasavo na on top of that ananijali mno hata kama hajanipenda mno! akinielewa ipasavo atajua nini nataka, wakati gani nataka hicho kitu; Atanijua tabia zangu zoote, nikiwa sad/emotional/sensitive/happy/horny/depressed - na atatafuta njia mbadala wa kunifanya niwe normal. In short on one to one... Atanifanya nijiskie I am special and Woman indeed. Atakua baba mzuri wa watoto wangu na kutimiza wajibu wake kama baba na Mume. Ana Utu kwa wanadamu woote sio tu wakaribu wake.....

Mwanaume kamili huendana na mazingira yoote, hana mtindo wa kuuza sura, wakati wa kazi ni wakati wa kazi! Wakati wa kuuza sura ni wakati wa kuuza sura! He is at home anywhere... iwe shamba, iwe kazini (ofisini), iwe kijiweni, iwe kwa wakwe, iwe nyumbani kwake na hasa kila chumba (i.e jikoni), iwe mbele ya kundi kubwa, iwe mkutano, He rules..... either by being a low key player or high key player.... Awe anajua ana madhaifu na asiwe muoga wa kuonesha hayo madhaifu (walau kwangu kama mpenzi wake). Ajue kua yeye ni mwanadamu kama wengine, ili a-appriciate wanadamu wali mzunguka regardless hali zao...

Mwanaume kamili ni yule mwanaume hata his fellow men wish to be like him.....
This is nice!! Yaani kama ulikuwa unanielezea mimi!!
 
show me aliyefikia hata 75%! i swear i will self-transform, take a charge at you and marry you....and marry you i can, honey.

Wangekua wanataka publicity ningewaanika hapa but they don't.Tena umenikumbusha ngoja ntawasifia moja kwa moja. Hahahaha. . marry me?YOU ABSOLUTELY CAN NOT!!

Alafu wapo waliojitaja hapa. . . sema hujataka tu kuwa-acknowledge kwasababu hutaki kuamini kwamba inawezekana.
 
"... marry me?YOU ABSOLUTELY CAN NOT!!" = u are shouting at me with that caps stuff, honey.....but watch me!

hapo juu kwenye red.....they are trying to get the better (worse?) of you. USIDANGANYIKE (na hii ni emphasis siyo shout!)
 
mkuu ungetupa na verses za mwanamke kamili mana kila siku tunasikia mwanaume kamili au rijali!! tunaomba kibao kigeukie Beijing saizi
 
"... marry me?YOU ABSOLUTELY CAN NOT!!" = u are shouting at me with that caps stuff, honey.....but watch me!

hapo juu kwenye red.....they are trying to get the better (worse?) of you. USIDANGANYIKE (na hii ni emphasis siyo shout!)
Hahahaha so if you capitalize words you are emphasising but if I do it I'M SHOUTING? Dayyyyyym.
Hata hivyo bado nasema you absolutely can not marry me, and I can say that again and again and AGAIN.

Hahaha. . . JELOUS MUCH?Waache hao sio wenzako wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom