Recent content by mligavakali

  1. mligavakali

    Simba inafikiria kugomea kupeleka timu siku ya ngao ya hisani

    Endeleeni kusubiri na mpelekwe daraja la kwanza....!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mligavakali

    Naomba msaada namna ya kujitoa chama cha waalimu Tanzania (CWT)

    Subiri waje wenyewe... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mligavakali

    Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

    Ni kweli "maisha Hayana maana" alizungumza Kezilahabi E. R.I.P chief
  4. mligavakali

    Chuo kizuri cha veta

    Umechelewa sana,watu washaanza kupiga msuli kitambo
  5. mligavakali

    Kuwa makini, hii namba inatumika kwa utapeli

    Hangekuja kwangu hao waone ningewajambishaje
  6. mligavakali

    Mwezi wa nane sasa baada ya mke kubakwa, nafanyaje naye mapenzi?

    Kama umefunga nae ndoa ya kanisan kumbuka Kiapo cha ndoa yako(kuvumiliana natoka shida na raha ,magonjwa na dhiki) pia wanaume hebu tuwe na Moyo wa msamaha,kuiona unakumbuka kosa alokufanyia mtu ujue hujasamehe Sawa sawa.Hata yesu alisema'baba wasamehe kwan hawajui watendalo'Nawe msamehe mkeo...
  7. mligavakali

    Kimondo (Astreroid) Au Jiwe Kubwa Hatari Kwa Dunia Yetu

    Ya wanadamu si ya Mungu!!!?
  8. mligavakali

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Liwale-Lindi,natafuta MTU wa kubadilishana kituo cha kazi mi nije mikoa ya Iringa,njombe,mbeya,morogoro na mawnza. Kwa aliyetayali tuwasiliane.
Back
Top Bottom