Kuna dada mmoja ana tatizo la bleeding kila wakati na ameshahangaika saana hospital imeshindikana, sasa hivi anahangaika kwa waganga lakini bado,ana miaka 40 na bado hajabahatika kupata mtoto, je unamshauri nini?
Mbona Makocha wa Taifa Stars wanalipwa mishahara mikubwa na tunaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu hawasemi? Ni kwamba mifumo ya upangaji na usimamiaji mishahara bado haijawekwa vizuri, Tofauti ni kubwa mno ukilinganisha na watumishi wa kawaida kama walimu, wahandisi , madaktari n.k!
Mbona Makocha wa Taifa Stars wanalipwa mishahara mikubwa na tunaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu hawasemi? Ni kwamba mifumo ya upangaji na usimamiaji mishahara bado haijawekwa vizuri, Tofauti ni kubwa mno ukilinganisha na watumishi wa kawaida kama walimu, wahandisi , madaktari n.k!
Viongozi wengi kote duniani lazima wana means of protecting themselves, Ikulu huwezi kaa hivihivi uongozi mamilioni ya watu, Usimwone kiongozi anakwenda kanisaani au msikitini ukasema huyu anamwabudu mungu tu, kuna Siri kubwa numa ya pazia, Ushawahi sikia Hirizi ya Simba, Akipewa kiongozi...
:clap2:Tumwombee ili CHIMWAGA pale Dodoma mwka 2015 ifuke moshi mweupe wenye jina la Edward Ngoyai Lowassa! Uwezo anao hivyo kwa Baraka za Mwenyezi Mungu atapita tu!:clap2:
Kaka hii ni kweli kabisa, wenzetu wa vyama vya upinzani wanajifanya wao ni watu ambao wakipewa nafasi hawatazitumia kwa manufaa yao wenyewe bali kwa manufaa ya wananchi tu. Sasa mifano kama hii ya ujenzi wa majumba ya kisasa inapingana na hoja zao za majukwani! :lying:
Ikiwezekana Watanzania wote tuzime simu zetu hata kwa hizi siku tatu ikiwa ni ishara ya kupinga tozo hizi za simu, pesa inayopatikana kwenye madini, mbuga za wanyama, samaki na kodi za mishahara na bidhaa zote za kibiashara zinaenda wapi?
Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni!!!
:nono:LENGO LA CHAMA CHA SIASA NI KUSHIKA DORA: Ikumbukwe kuwa hakuna Speaker au Mbunge iwe wa Chadema au CCM ambaye yuko tayari kuona chama chake kinashutumiwa mpaka kupoteza mwelekeo au dora akiwa anaangalia tu!! Je baada ya hapo atakula wapi?, atakuwa Speaker wa chama gani?, Naomba mkumbuke...
LENGO LA CHAMA CHA SIASA: Kweli kabisa!! Halafu ikumbukwe hakuna Speaker au mbunge iwe wa Chadema au CCM ambaye yuko tayari kuona chama chake kinashutumiwa mpaka kupoteza dora akiwa anaangalia tu!! Naomba mkumbuke kuwa lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dora, mambo ya mengine huwa ni...
:yo:Kumkana Lwakatare sio dawa!!! CDM Wanapaswa wajue bado ni wachanga kwa CCM!!! Miaka 36 madarakani sio kitu rahisi na cha mchezo!! Wakaze buti na wawe wavumilivu!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.