Women time
Member
- May 17, 2019
- 35
- 32
Fanya Tafakuri athari watakazozipata wajukuu na kizazi chako utakachokiacha hapa duniani kutokana na miti inayozidi kupotea kila kukicha.
Tumia mvua hizi alizozileta mwenyezi Mungu kwa makusudi ili kutafta mvua ya kesho.
Bila ya kusimamiwa unaombwa kuchukua hatua ili usiache deni hapa duniani kuwa haukutengeneza mazingira. Dunia ni mimi na wewe.
Rafiki Mlioko humu kuwa mabarozi wa hili jambo,
Mr. Damas ametukumbusha ingawaje yeye kapanda mkrismas wewe unapanda mti gani?