Humu ndani kuna vibao 14 na vingi ni moto kwangu mimi Mlamba Mawingu Kuna Ma Afrohouse humo, Bongo Fleva ila hii Loser aliomshirkikisha Sofiya Nzau ipo kwa repeat kwa sasa.
Mimi kama Mlamba Mawingu hizi Shabiby semi Luxury za kubeba abiria 53 zitakua mbili tuu ila hii ya pili itabaki na siti chache maana huwa nawaweka katika kumbukumbu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.