Recent content by mlagilamakawao

  1. mlagilamakawao

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Duûuhh kisbo nomaaa
  2. mlagilamakawao

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Tunafukuzana ila Dodoma ndo tutaachana
  3. mlagilamakawao

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Nipo premier kwenda mbeya
  4. mlagilamakawao

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Bora hihihi kuliko mwendo kasi mie sitaki speeed
  5. mlagilamakawao

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Hahaaaaaa kisibo na allys leo zinakula sahani moja, znaongozana zero distance
  6. mlagilamakawao

    Kisbo imepitwa hapa mapema tu!

    Watu mko machooooo,,, Mm nimetoka na premier hapa nyegezi naelekea mbeya Duuuhh linapitwa tuuuuuuuu na vibas vya ajabu najutaaaaa
  7. mlagilamakawao

    Nahitaji msaada wa kisheria

    Nahitaji Msaada wa kisheria, wanasheria mliopo humu tafadhali naomba ni pm
  8. mlagilamakawao

    Msaada wa kisheria

    Ni matumaini yangu jukwaa hili Lina watu mbalimbali Wenye ubobezi Katika masuala ya nyanja nyingi. Binafsi Nahitaji wataalam au washeria, hivyo naomba Kwa yeyote anaeweza kutoa Msaada huo nauhitji sana. NB: awe anapatikana mwanza au iringa
  9. mlagilamakawao

    Love Connect!

    Karibu pm Kwa Alie serious, jokes sitaki. Mm nipo serious.
  10. mlagilamakawao

    Love Connect!

    Nipo Kanda ya ziwa natafuta mchumba awe Na umri 20-27. Elimu kidato cha nne hadi chuo, awe mwajiruwa au mjasilia mali.
  11. mlagilamakawao

    Natafuta mume

    Wowowo unayo?????
  12. mlagilamakawao

    Ma Bachela wenzangu, Usawa huu wa Magu Kuna kuoa kweli?

    Hakuna kitu kinanikera kuwa Na mwansmke ambae ukizungumzia ishu yakuoa anawaza harusi ya kifahariiiii
Back
Top Bottom