Sio kumtisha ni kweli hao nyoka aina hiyo wana tabia hizo. Na ni bora alikuwa ndani ya gari asingeweza kusimulia hii story.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hii ni kusema kwamba kwa umbali mrefu sana kwenda huko angani, wanasayansi waliona ugumu kutumia vipimo kama kilomita au maili badala yake wanatumia kasi ya mwanga, kwa mfano hapo 180000 light years wanamaanisha kwa kasi ya mwanga unatakiwa uende miaka 180000 ili kufika hapo mahali
Ukichunguza...
Hakuna uchawi hapo, akili ndogo tu. Ananunua maguninia ambayo hayajapimwa, lakini yeye anauza kwa kupima kilo 100.
Magunia mengi yanakuwa yamezidi uzito wa kilo 100. Anapata faida kwa uzito uliozidi kwenye kila gunia, ni kidogo kidogo lakini anapiga mzigo mkubwa hivyo lazima faida aipate.
Hawa polisi huwa tunawalaumu bure tu wakati mwingine. Kama hoja yako ni watu kusimama, kwamba wangekuwa wamekaa wasingekufa, akili za wapi hizi? Hivi umeona hata picha za hiyo ajali? Hivi kweli pale kusimama kunazuia nini au bahati tu ndo inayokuokoa?
Sikushangai sana maana lawama ndo...
Field za kazi ni mahali popote panapohitaji usimamizi wa sheria, mainly kwenye majeshi yote lakini ishu ya ajira ni pana unaweza pata popote penye uhitaji sia ajabu ukafanya kazi tbs, benki n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.