vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 598
- Thread starter
- #21
Kurundukwa kama magunia kwenye mabasi ni ushenzi wa kiwango cha juu. Tutastaarabika lini. Tuache mazoea. Zamani watu walipiga mswaki kwa kutumia miti, je unapenda tuendelee na mazoea hayo ya zamani? Tuchukue hatua. Saa ya ukombozi ni sasaKwa daladala ilivyochakatwa ingekuwa imejaza na wengine kusimama ungesikia maafa ni makubwa Sana zaidi ya hivyo ulivyosikia ila
Kwa mda ambao ajali imetokea sio rahisi watu kuwa wamejaa kiasi hicho lakini pia nadhani Ni makosa ya kiufundi ya dereva
Pia
Abiria kusimama kwenye daladala haiepukiki na imekuwa hivyo miaka mingi bila shida ishu Ni kutii Sheria
Hata Kama uko pekeyako kwenye taa na haijakuruhusu kupita inabidi usubiri ndiyo ustaarabu huo