Nahitaji Smart Watch ila nina 50k

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nawasilimu kwajina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,

Husiken na kichwa cha habari hapo juu, navutiwa sana na kuvaa saa janja au smart watch ila nashindwa kutokana na uelewa wangu mdogo juu ya izo saa. Siku zote mtu kama kitu hukijui usitake kujifanya mjanja sana.

Kwahiyo nimekuja kwenu wajuzi wa mambo naomben msaada wenu muweze kunijuza ni aina gan ya saa ipo vzr kias na specification zake ni zipi.

Ila nina 50 elf jaman kwaiyo kwa anayefaham saa naomba anijuze.....vhief mkwawa uku kwenye saa janja vp kaka kama unazijua nisaidie kaka ili nisije nikatia aibu
 
Ongeza 50k nyingine upate "Mi Band" Original kinyume na hapo huwezi kupata Original Smart Watch kwa hela hiyo.
 
Back
Top Bottom