Recent content by mkwatis

  1. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

    5.Nna yutong moja ila nimeamua kutulia na kubaki na dereva tu
  2. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Nishaurini wakuu chanjo yaniogopesha

    Kwa KWELI kama unaongia kwenye international affairs you have no option Kula chanjo mwanawane,achana na Gwajimaism! Ila mimi Nina hofu zaidi na story hizi kwa hizi attachments ,naona maelezo haya yamekiuka KATIBA yetu na JMT Iimetupiga teke
  3. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Mjue Mungu wa Freemasonry

    Nini interest ya Ialdabaoth kuumba kiumbe kwa mfano wake na nini interest ya sofia kumuumba Ialdabaoth?hapa naona kama kuna hidden things again likud panahitaji mnyumbulisho zaidi
  4. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kudai Katiba mpya ebu tujielimishe na kujikumbusha historia ya Katiba ya Tanzania

    Ila Ni uzi muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu,nilitaka kujua hapa wananchi walishirikishwaje?
  5. mkwatis

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Rest in Peace
  6. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ashauri Serikali iache kutangaza wagonjwa wapya wa Corona, itangaze wanaopona na wanaokufa

    Mimi kwa mtazamo wangu ningeona tuache malumbano tuangalie way foward na jinsi gani mmoja mmoja kuangalia jinsi ya kupambana na kadhia hii iliyoko mbele yetu,Nchi za wenzetu wameamua kututenga kwani madereva wanaoenda mathalani Rwanda hupimwa na kuzuiwa kwenye gari zao na kurudishwa kwa ulinzi...
  7. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Ulianza lini kuvuta bangi na kwanini? Uzi maalumu wa wavuta bangi

    Kama unataka umakini na ustamilivu pigs ganja yako,Kwa kiasi ukiwa umepumzika unapata upepo mubashara,na inakuwa tamu zaidi ikiandaliwa na mpenzi wako!
  8. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Mnyonge myongeni ila haki yake mpeni!
  9. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Bashe: Albert Msando usitafute cheo kwa kupitia mgongo wangu, pambana na hali yako

    Bashe huwa nakuelewa sana ,keep it up!)one day will be paid....
  10. mkwatis

    JamiiForums Tanzania DRC leo kanisa laitisha maandamano kumng'oa Kabila madarakani

    Zion train is comming our way!
  11. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Yusufu Manji kasusa kabisa?!

    Hata Udiwani wake pia hataki?
  12. mkwatis

    JamiiForums Tanzania Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

    Pia kucheza show kwenye maclub anajua
Back
Top Bottom