Recent content by Mkwanzania

  1. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nkrumah alijitangaza Rais wa Maisha Ghana wanajeshi wakasema naye. Hata Nyerere kutokubali falsafa ya Africa Unite kwa mrengo wa Nkrumah ni kwamba aliishaona kuwa Nkrumah anajiandaa kuwa Rais wa Afrika, Nyerere akatumia influence yake kupinga ideology yake na kuja na mtazamo mwingine wa RECs...
  2. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Imagine zingekaa namna hii…….!!
  3. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Na za town wakifanya hakika zitanoga, hizi round about zimenakishiwa sanamu zenye mandhari ya na historia ya Dar es Salaam wakire-capet na barabara zake wakaweka na street lights na hapo NHC anarepair na kupaka rangi majengo yake basi tumamaliza kazi ibaki kazi kabisa.
  4. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nyerere hakumkubali sana Nkrumah, walikuwa mafahari wawili kwenye zizi moja.
  5. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Chole na Haile Selasie wangezijengea na side walk zingekuwa poa sana.
  6. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hi Hizi buildings NHC wangezipata rangi tofauti tofuati pangekuwa noma sana!!
  7. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ni Nchi Mbili tu ndio zimeingiza viwanja viwili……..Giant wa South na Giant wa East!!
  8. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapa ni Bongo Kweli?
  9. Mkwanzania

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Nimeomba internet siku ya pili sijapata, jengo langu lina fiber na niko mita 100 toka ex-telecom. Namna hii mtafika wakati kuna kampuni naomba sasa hivi after 1hr nina internet.
  10. Mkwanzania

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Tofauti na huyu Nyerere hakuwa Chawa wa mtu, alitumia haki yake ya Kikatiba na uzoefu wake wa kiuongozi kuikosoa na kuishauri serikali kama anavyofanya Warioba na Butiku na husikii watu wanawalalamikia.
  11. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapo hujaweka kitu cha Presidential White Noble, kama Stellenbosch mwanangu.
  12. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tembo mweupe wa Nairobi, Kisirani sorry Kasarani pekee haijai, then wanaongeza liability Nairobi, mchina mjanja anakwenda anaongeza bonds kwa gavoo ya Kenya, kija kustuka nchi yote iko mnadani😁😁
  13. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbe bado kuna Wakenya wana akili timamu namna hii? Huyu atakuwa kakulia Namanga😁😁
  14. Mkwanzania

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Alafu wanatutusi wakituita maskini, alafu maskini akikaza nati tajiri anatoa milio, sasa nani ni maskini hapa? Kenya ni Mexicans wa East Afrika, always dreaming to have an entry of a promised land the USA of East Afrika, the Tanzania Dream. Serikali ishikirie hapohapo, wakiachia na sisi...
Back
Top Bottom