Recent content by Mkwala

  1. Mkwala

    Wanaume uhuni mtaacha lini?

    Tulikwenda Mgodini Uvinza Ltd...
  2. Mkwala

    Wanaume uhuni mtaacha lini?

    Sidhani kama kuna kuacha wanawake pia mnaongoza "Yaani mtu kaolewa anaanza kunizoea kuniita MME" hapo inakuwaje na ukiangalia Shetani alinipitia siku moja tu.
  3. Mkwala

    Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Hahaha! wacha kabisa,,, tulikuwa tunajiita dakika 3 nyingi,,,, Ugali ukiwekwa kati,,, sahani bado inafuka moshi watu washaaanua vyombo....Vijana tu ambao tulikuwa madume karibia 10,Hapo hujaesabu wadada.Bado huja anticipate wageni.Maana pale ilikuwa kama charity,,, mnuso ukisikika lazima watu...
  4. Mkwala

    Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

    Mimi nakumbuka hatukuwa na msichana wa kazi, bali kulikuwa na Yaya Maza Mmoja miaka ya 2000-2010 alikuwa mwamba.Yaani zile familia kuishi wengi,halafu vijana madume ndiyo wengi.Kila siku debe moja la unga linakatika (mchana na jioni).Legend kabisa yule Mama.Sema wauni wakamdanganya akasepa zake...
  5. Mkwala

    Naomba kufahamu Kiwanda cha mifuko rejea

    Hii itakugharimu kama ikiamshiwa popo.Vinginevyo tafuta viwanda vilivyoruhusiwa kuzalisha kwa walaji waliosajiliwa pia.Kama na wewe una kiwanda au agent hakikisha kiwanda kinachotengeneza kinatambulika na hata mlaji anatambulika (label) hasa unaenda kufanyia matumizi gani.Asante
  6. Mkwala

    Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Nenda Telegram na Badoo,,utajipatia huko wapo Kila aina,,,japo wengi utawakuta single mothers au divorced woman.But wanapenda Black colour na hawana makuu
  7. Mkwala

    Ujumbe wa wiki: Hatovunjika ukimkalia

    Sitaki kusikia tena hii ya kukaliwa na lishangazi,,nilihisi nimepata shida ya nyonga wazee,,,kumbe shughuli nilipelekewa na Gushangazi gwa kilo 110.Bora kulipiga Doggy likwende zake liumie magoti lenyewe
  8. Mkwala

    Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Kumbuka pia Mshua alikuwa Afande,,sasa nadhani unajua kauli za "Ndiyo Afande" zinavyokuwaga zinasimamiwa kikamilifu.Ni kama unampigia mbuzi gitaa kwenye misimamo
  9. Mkwala

    Nilivyotapika katikati ya uzinzi baada ya kukutana na harufu ya yai viza

    Daah! Kama hujawahi kukutana na janga kama hilo katika pitapita zako Wee bado Underdogg kwenye hii sekta.Only Legends will understand what I mean. Mwaka Mmoja nimesafiri zangu Toka Kijijini kwenda Das lam,,nilichokutana nacho walahi ni shida tuupu.Hata ivyo kuna mwaka after 3/4 year nikasema let...
  10. Mkwala

    Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Hiyo itakuwa changamoto za kliniki ,,, yaani hiyo sera eti LAZIMA Mjamzito aende na aliyempa Mimba ndiyo aandikishwe kliniki.Nadhani hiyo ndiyo itakuwa imefanya binti kamute mpaka kajifungua salama kabisa.Tena hata kuwa na hiyo trend ya kliniki.Hii imenikumbuka nilipokuwa shule ya msingi STD VII...
  11. Mkwala

    Bifu gani ilitikisa Taifa?

    Kuna ile Bifu ya King Off All Bongo Social Media (R.I.P) na Dada wa Taifa (Mange) ile ilikuwa siyo poa kabisa (kuchoreshwa kiOCRA siyo poa kabisa)
  12. Mkwala

    Bifu gani ilitikisa Taifa?

    Yaani Bifu ya Kalapina imesahaulika kweli,,, kushikiana mapanga siyo poa ujue....
  13. Mkwala

    Bifu gani ilitikisa Taifa?

    Hili ndiyo bifu moja matata,, mpaka mtu akapelekewa mtoto mkaliii akijua demu kumbe mpango wa Christian....Shiteee
  14. Mkwala

    Wazoefu nipeni ABC Niko pekeangu na wife anakaribia kujifungua

    Kama ni uzao wa pili usiwaze,,Mama mtoto anajua namna ya kulea,,Cha kufanya akisikia uchungu muwahishe Hospital.Akishajifungua hakikisha siku tatu za mwanzo unamsaidia kufua na kumpikia au unaeza omba jirani apo akusaidie kupika misosi.But make sure weew ndiyo utafua zile nguo alizotoka nazo...
Back
Top Bottom