Wanaume uhuni mtaacha lini?

Wanaume uhuni mtaacha lini?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,911
Reaction score
3,736
Dada akipita unamwangalia,akiinama unamchungulia hasa kama kavaa kimin,unamkagua mpaka kavaa chupi rangi gan,kama hajavaa sidiria unachungulia machuchu Hii tabia nmeiona kwenye klabu nyingi,hiv ushawai ona mwanamke akichungulia mwanaume.kwel masela uhun utatuingiza majaribun
 
Sidhani kama kuna kuacha wanawake pia mnaongoza "Yaani mtu kaolewa anaanza kunizoea kuniita MME" hapo inakuwaje na ukiangalia Shetani alinipitia siku moja tu.
 
Kwani ulisha wahi kuona maji yakipanda mlima...🤔
Ebu acha ushamba mazee, mwanaume aliye kamilika lazima ayafanye hayo unayo yaona uhuni, and that's nature....🫠
 
Kawaida sana...
Siyo uhuni ni upembuzi...
Udadisi...
Fahari ya macho... Shauku...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom